donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?Wakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake. Daah nikataka niombe namba ila kutema mayai kama tony blair nikashindwa maana mtoto alikua anamwaga ung'eng'e si wa nchi hii mpaka nusu nitafute subtitles.... nikaona sio kesi japo nimfotoe nitunze memory kwamba 1day woga wangu ulinikosesha mtoto Mboga saba (ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani).....!!!
View attachment 435552
Ebwana itabidi nifanye hivyo mkuuDuh! Wanasema Ras Simba ana uwezo huo jaribu kumuona ndugu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] acha tu mkuu yalikua ni majaribu ya hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?
kuna nini hapo sasa na ni nani kakuruhusu kuweka picha ya huyu binti hapa ?kalisa mwenzio kashakamatwa na polisi kwa kuweka picha za wema mitandaoni shauri yakoWakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake. Daah nikataka niombe namba ila kutema mayai kama tony blair nikashindwa maana mtoto alikua anamwaga ung'eng'e si wa nchi hii mpaka nusu nitafute subtitles.... nikaona sio kesi japo nimfotoe nitunze memory kwamba 1day woga wangu ulinikosesha mtoto Mboga saba (ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani).....!!!
View attachment 435552
Duh! Wanasema Ras Simba ana uwezo huo jaribu kumuona ndugu.
Mimi ni mmoja wa watuEbwana itabidi nifanye hivyo mkuu
Ndio hako hako mkuu sio siri kalikonga nyoyohako kabinti kakitasha kanaonekana bado kadogo sana tena utafikili kapo na mama yake,, sasa sijuh ulikua unataka ulushe kete kwa yupi hapo
Hahaha acha tu mkuu marasi wanafaidiumeishia kupiga picha mkuu acha wajanja wale fuga rasta uokote wazungu hahahaha akili za wabongo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]"Ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani"
Hahahah
Mkuu ungemuona live ungekubaliMkuu mbona miye namuona wa kawaida tu au kwa sababu ya rangi?
Shukrani mkuuKuto kujiamini ndio tatizo lako.
Nakupa pole kwa tatizo ulilonalo na juhudi unazozitumia kujiponya hilo tatizo hapa JF sidhani Kama utapona.