Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Leo ni kumbukumbu ya miaka mitano tangu afariki aliyekuwa mtu mfupi zaidi duniani (kwa mujibu wa Guiness book of Records),He Pingping alifariki siku kama ya leo (Tar 13,Machi,2010 nchini Italy) kwa matatizo ya moyo.Kwa wadau wa matukio ya ajabu na yasiyo ya kawaida mtu huyu aweza kuwa si mgeni...