Leo Karibuni Huku.

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Ushafika mtwara mgeni kwanza ngoja tukuandalie msosi wa nguvu
 
Sasa ndo umeingia katika viunga vya mji wa Mtwara.
 

Hiki ni moja ya vijiji viulivyoko katika mkoa wa Mtwara
 

Hapa tuko newala moja ya wilaya zilizoko
katika mkoa huu.
 

Hii nimandhari ya baadhi ya maeneo ya Tandahimba wilaya iliyoko mkoa wa
Mtwara
 
View attachment 41538View attachment 41539View attachment 41540
Hapa ni NDANDA moja ya vijiji vilivyoko katika wilaya ya MASASI Mkoa wa
Mtwara - ZINGATIA hiki ni kijiji.

Mkuu, Katika Mkoa mzima wa Mtwara hakuna sehemu ambayo ipo safi kama Ndanda, Maji ya kutosha, Umeme wa kutosha na pia mandhari yake imekaa vizuri sana, bila kusahau kuna Hospitali kubwa, na shule ya High level ya Ndanda High School, Kwa miaka kama 5 iliyopita tuliosoma pale tulikuwa tunaenjoy sana japo mmi nilisoma O'level lakini mazingira ya hiyo sehemu yalinivutia sana. Ni vijiji vichache sana Tanzania ambavyo sio wilaya au tarafa vinaweza kuwa kama Ndanda by the way nasikia wapo kwenye mchakato wa kuifanya Ndanda wilaya na Masasi mkoa kwani Lindi imekuwa kubwa sana na wana mpango wa kuupunguza ukubwa wake.
​
 


Faidi samaki kwa mara ya mwisho maana maeneo mengi niliyokuonyesha
yako mbioni kuuziwa wazungu.............. Inauma sana Kwaheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…