Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,696
- 830,700
Ni story ya miaka takribani 14 iliyopita, leo tukiwa kwenye sherehe za kipaimara cha mwanae Anne ndio akanikumbusha Ilikuwa hivi....
Baada ya ndoa huko kijijini mkoa mwingine jamaa alirudi Dar na mkewe na mamamkwe.Wakati huo jamaa akiishi nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu hapa Dar, basi jioni ile walipowasili jamaa akaamua awatoe dinner na kinywaji mkewe na mamamkwe.Hawakwenda mbali kwakuwa jirani palikuwa na bar, basi kufika pale na kukutana na jamaa na marafiki kilaji kikaanza mamamkwe na bintiye wakinywa St. Anne chupa chupa.
Mida ya saa nne usiku mama na mwana wakachemsha kilaji na kurudi home huku wakimwacha jamaa anaendelea na majirani.Ilipofika majira ya saa tano usiku jamaa akiwa keshatoa lock akarejea nyumbani na kufikia chumbani kwake lakini umeme ukiwa umekatika.Ukichukulia ni ndoa mpya na ashki za pombe jamaa akatupa pensi na T-shirt kule akamparamia mwenzake kitandani aliyekuwa kalala fofofo na kuanza kula chakula cha usiku kwa raha zake.
Ni wakati anakaribia kushusha mzigo aliposhangaa mwenzake anamsukuma kwa nguvu na kumuuliza ndio unafanya nini sasa? Kabla akili haijakaa sawa umeme ukawaka na kujikuta alikuwa anakula ya mamamkwe, haraka na katika hali ya kuchanganyikiwa aliokota nguo zake akaenda sebuleni huku akitweta ile anamalizia kuvaa anaona mlango wa chumba cha wageni unafunguliwa na mkewe akiwa katika hali ya ulevi anatoka na kumtaka mumewe radhi kwa kumpisha mamamkwe alale kwenye chumba chao.
Ndio jamaa kikampambazukia na kujua kila kitu ila akakausha na kumkokota mkewe mpaka ndani na kumalizia pale alipokatishwa usiku ule ndio mimba ilitungwa na mtoto alipozaliwa akaamua kumuita Anne kukumbuka lile tukio ambalo hata hivyo lilibaki kuwa siri huku mamamkwe akiondoka siku iliyofuata kwa visingizio kibao. Leo nimemuona Anne akiwa ni binti sasa.