Leo IKULU Bashe kaanza vizuri japo kakosea

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,484
Reaction score
2,890
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mkuu japo naona kama unajibu jambo ambalo Bashe amelisema au kulianzisha pamoja na kwamba sijui ni nini na wewe huelezi....naunga mkono wakenya waende kwa wakulima kununua mahindi yao...hao walanguzi wa katikati ni wabaya sana na kuwagandamiza wakulima !!
 
Ukikosea utapigwa tu, maana hamna namna nyingine!
 
Mkuu japo naona kama unajibu jambo ambalo Bashe amelisema au kulianzisha pamoja na kwamba sijui ni nini na wewe huelezi....naunga mkono wakenya waende kwa wakulima kununua mahindi yao...hao walanguzi wa katikati ni wabaya sana na kuwagandamiza wakulima !!
Mimi sikubaliani kabisa kuwepo kwa madalali/watu wa kati/walanguzi.

Ila kwenye biashara intermediaries huwa zipo. Kama ambayo una hela unamtumia mtu, kuna bank au mobile money kama mtu kati.

Shauku yangu, warasimishwe ili naoa mfumo uwatambue. Likifanyika kila mmoja ana-win.

Mbona hatuendi kununua Cement Tanga au Mbeya au kokote. Tunanunua kwa retailers ambao nao wananunua kwa wholesalers.

Tukirasimisha mfumo, tunaongeza mzunguko wa fedha katika organized systems.

Ila kama Serikali ikiamua, mimi ni nani kuzuia mambo hayo yasifanyike. Maana jana nimeona moja ya lecture the boss is always right. So far if that is true, I can just advise professionally na sio vinginevyo.
 
...Mkulima hohehahe, anayepata tani 2 mpaka 3 kwa mwaka atanufaikaje na mnyororo wa thamani?....anawezaje kununua mashine za kusagia na vifungashio kwa ajili ya package?....mkulima always hanufaiki na jasho lake labda madalali. Labda uwekwe utaratibu ambao utamgusa mkulima hata mwenye gunia chache, mathalani, kuwepo na taasisi huru ya wafanyabiashara-wakulima ambao watapanga bei nzuri kwa mazao yao. Halafu hiyo taasisi ndio ifungue mitambo(mashine) ya kusaga kila mkoa au wilaya au hata kijiji ili kuwarahisishia usafiri wakulima. Hakuna jambo baya kama kumzuia mkulima kuuza mazao yake kidogo kisa mnyororo wa thamani. Sisi tuliokulia kwenye familia za kilimaji tumeonja adha hii.
 
Ukiwa nje ya uwanja unaweza kucheza utakavyo kwa kukisia tu na kutikisa kichwa, huyo Msoma Ali ni lopo lopo tu na sioni kama kuna weredi wowote labda aendelee kuchukua huo unaoita ushauri.... kwa mfano wa uandishi kama huu ni mashaka makubwa kuhusu set up ya kichwa chake.
IMG_2081.JPG
 
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania
Wakulima wasionewe. Kama wenye viwanda wanauza mazao yao mahali popote na kwa yeyote, na wakulima nao wawe na uhuru huo huo kwenye mazao yao.

Sasa hivi waliokuwa wakulima wakubwa na wa kati, wameacha kulima mazao ya chakula kutokana na na ukiritmba wa serikali katika kuweka masharti mengi wakati wa kuuza.

Mkulima hawakusaidiwa wakati wa kulima, kwa nini wawekewe masharti wakati wa kuuza?

Kama tunataka kukuza kilimo, tuache wakulima wawe huru kuuza mazao yao kwa yeyote, mahali popote na kwa wakati wowote. Kukiwa na uhuru wa kuuza, kutakuwepo na bei nzuri, kukiwa na bei nzuri, watu wengi na makampuni wataenda kufanya kazi za kilimo. Na ndipo hapo tutaweza kukifanya kilimo chetu kuwa cha kibiashara.

Namwunga mkono Bashe kwa 100%. Wakenya, Wamarekani, Wazimbabwe, wahindi, Wasudani, n.k; wote wakitaka kwenda kununua mazao kwa wakulima, kwa wafanyabiashara wa kati au wafanyabiashara wakubwa, wawe huru.

Tuondokane na mawazo ya kizamani ya kuweka vizuizi kwenye masuala ya uchumi.
 
Naunga mkono Juhudi za Mheshimiwa Bashe kuruhusu Mfanyabiashara yoyote duniani kununua mazao ya wakulima wetu.
Jasho la mkulima lazima anufaike nalo.
Serikali inaweza kuingilia kwa sababu za dharura tu na kama ikifanya hivyo lazima icompensate wakulima gharama za kutouza mazao yao.

Kama mkulima atanufaika na mazao yake basi umasikini utapungua kwa kasi
 
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania

sioni sababu ya kuuza mahindi nje hasa kenya, badala yake kule iruhusiwe kuuza sembe, dona na pumba as a finished product, ili kazi ya kuprocess mahindi iwanufaishe wazawa.
 
Wakulima wasionewe. Kama wenye viwanda wanauza mazao yao mahali popote na kwa yeyote, na wakulima nao wawe na uhuru huo huo kwenye mazao yao.

Sasa hivi waliokuwa wakulima wakubwa na wa kati, wameacha kulima mazao ya chakula kutokana na na ukiritmba wa serikali katika kuweka masharti mengi wakati wa kuuza.

Mkulima hawakusaidiwa wakati wa kulima, kwa nini wawekewe masharti wakati wa kuuza?

Kama tunataka kukuza kilimo, tuache wakulima wawe huru kuuza mazao yao kwa yeyote, mahali popote na kwa wakati wowote. Kukiwa na uhuru wa kuuza, kutakuwepo na bei nzuri, kukiwa na bei nzuri, watu wengi na makampuni wataenda kufanya kazi za kilimo. Na ndipo hapo tutaweza kukifanya kilimo chetu kuwa cha kibiashara.

Namwunga mkono Bashe kwa 100%. Wakenya, Wamarekani, Wazimbabwe, wahindi, Wasudani, n.k; wote wakitaka kwenda kununua mazao kwa wakulima, kwa wafanyabiashara wa kati au wafanyabiashara wakubwa, wawe huru.

Tuondokane na mawazo ya kizamani ya kuweka vizuizi kwenye masuala ya uchumi.
Ni sawa, mzee Msekwa kwenye muktadha wa nyaraka alisema unaposhauri, sio sawa na kutoa amri. Mtu mwenye asie na mtoto wa kike hana power ya ku-dictate suala la mahari kwa kuwa hana mtoto wa kike.

Anyway, siongei kwa kushadadia, ila naweza kukupa mfano mdogo tu... PPF, LAPF, PSPF, GEPF (ambazo kwa sasa ni PSSSF) na NSSF ni jumuia/mifuko inapokea say elfu 40, 30, 100... mashirika ya bima wakati yanaanza premium zilikuwa ndogo sana elfu 25, 30.... wanasema law of large numbers.
Hao wakulima wadogo ndio wanailisha nchi hii na Kenya, Congo, Rwanda Burundi...
Inatakiwa ije mifumo tu ya kuwa-organize kwa wingi wa wanachovuna na Umoja wao wawe na command ya kukopesha na kumiliki processing machinery.
This is very very workable.

Huwezi kwenda India ukanunua maziwa kwa mkulima hata kama ana ng'ombe 5. Hatauza kwako. Wana organized system ya kuuza maziwa viwandani na kila mwenye maziwa ana share kiwandani.

It just a way of creating a system ambapo wakulima hao hao wa gunia 2, 6, 10 wanakuwa na mfumo ambao unawathamini ili wauze hizo gunia 2 zilizosindikwa na kuvuta kikubwa….

Anyway, mie tunashauri. Hatuna mamlaka wala vikao rasmi vya kumtaka Naibu Waziri au yeyote yule kufuata ushauri wangu. Ni ushauri tu
 
...Mkulima hohehahe, anayepata tani 2 mpaka 3 kwa mwaka atanufaikaje na mnyororo wa thamani?....anawezaje kununua mashine za kusagia na vifungashio kwa ajili ya package?....mkulima always hanufaiki na jasho lake labda madalali. Labda uwekwe utaratibu ambao utamgusa mkulima hata mwenye gunia chache, mathalani, kuwepo na taasisi huru ya wafanyabiashara-wakulima ambao watapanga bei nzuri kwa mazao yao. Halafu hiyo taasisi ndio ifungue mitambo(mashine) ya kusaga kila mkoa au wilaya au hata kijiji ili kuwarahisishia usafiri wakulima. Hakuna jambo baya kama kumzuia mkulima kuuza mazao yake kidogo kisa mnyororo wa thamani. Sisi tuliokulia kwenye familia za kilimaji tumeonja adha hii.

Kabisa mkuu mara zote wakulima ndio tu wanapata tabu sana pale ameivisha na anataka kuuza mazao yake anatengenezewa figisu za kutosha mara Serikali imefunga mipaka yake hakuna kuuza mazao nje kisingizio kuna njaa, wakati huo huo mfanyabishara mwingine yuko huru kupeleka anakotaka bidhaa zake.
 
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania

Mkuu ww unatupangia sisi wakulima tumuuzie nani mazao yetu wakati ww uko ofisini? Huo ukiritimba hatutaki, unataka kupangiwa mtu wa kumuuzia kalime na ww usubiri huo ukiritimba. Tunataka mteja afike anunue mazao yetu na atulipe hapo hapo. Sio wakulima tunakufa kwa umasikini nyie wenye vitambi huko maofisini mnajifanya kupanga utaratibu.
 
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania
Amekusoma safi sana
 
Hivi umemsikiliza vizurina hata wahusika wa kilimo Kenya walichoongea pia?
Or umedandia kati kozi ni biashara unayofanya?!!!
 
Business ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Deal inakamilika pale wote wawili wakikubaliana terms and conditions. Biashara ya mahindi ni competitive ukiwa na masharti magumu mnunuzi atakwenda kwa muuzaji mwenye masharti nafuu. Hii si siasa guys.
 
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"

Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.

Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.

Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.

Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.

Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.

Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.

Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.

Mungu Ibariki Tanzania
NI msemmaji mzuri, alipangilia na kufikisha ujumbe ipasavyo. mengine tuwaachie wachumi wak
 
Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.

Bakheresa yupo hapo! Siwa mshawishi awekeze kwenye Unga wa Mahindi
 
Back
Top Bottom