vivian embu kam kwa huku tutete kidogo!Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.
Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.
Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.
All ladies please igore this arrogant peron.
Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????
Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT
missing you so much mylove
We nawe!!!!?
Me too my "Bee Product"
za masiku jamani.
Kipaji Halisi full miyeyusho. Mbona siku ile hukunipigia tena?vivian kama kawa sio..full high day...
Kipaji Halisi full miyeyusho. Mbona siku ile hukunipigia tena?
I will be with Filipo today pale kwa jide Please Njoo na wewe basi
Kunya anye kuku, akinya bata kaharishaNa kauli ya Jide iliyomwita MwanaFA kuwa ni MwanaFatuma ilikuwa inampaisha mwanamke?
Au dharau kwa mwanamke ikifanywa na mwanamke huwa si dharau hadi ifanywe na mwanamme?
Am fine Darling. Mbona hujibu PM zangu jamani?
I wish I was the chain on your chest that I keep on Embrassing you day and night.
Hehehe,
jamani mie.
Mbona nilizijibu yote papito.
ahhhahaha dada taratibu pleeeese maana naona huku tunakuoelekea inaanza kuwa bifu kati ya wanaume na wanawake.....Katika nchi kama hii sitashangaa likitokea hili.....mambo mengi ya ajabu yanatokea tanzania...ahahahaMimi sijafurahia kauli za mwana FA.