babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,297 Reaction score 20,868 Apr 21, 2023 #41 Wavaa kobazi hawajui hata sikuku yao lini. Elimu jamani halafu nyie ni kula pilau tu na soda iwe leo au kesho mnaweza pia mkasherekea siku mbili kuna zambi gani. Uvivu mpk kujipangia ratiba Kuleni leo pilau kesho biriani ubishi unaisha.
Wavaa kobazi hawajui hata sikuku yao lini. Elimu jamani halafu nyie ni kula pilau tu na soda iwe leo au kesho mnaweza pia mkasherekea siku mbili kuna zambi gani. Uvivu mpk kujipangia ratiba Kuleni leo pilau kesho biriani ubishi unaisha.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 13,283 Reaction score 37,618 Apr 21, 2023 #42 Kilimbatzz said: Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjini Click to expand... Pumbafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimbatzz said: Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjini Click to expand... Pumbafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,687 Reaction score 19,355 Apr 21, 2023 #43 Huku waswali Sunni wanakinukisha mpaka nawaonea shia huruma πππ saa hii kumetaradadi msikitini huko
Huku waswali Sunni wanakinukisha mpaka nawaonea shia huruma πππ saa hii kumetaradadi msikitini huko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,914 Reaction score 193,829 Apr 22, 2023 #44 Kesho...