Jamaa ame act kibwege sana. Yaani utapeli huo ni kama umetoka Muheza jana au Sitimbi. Mtoto wa Town unaamini upuuzi kama huo? Anyway
APPROXIMATELY una tsh ngapi nimwoneshe sisi watu wa Pemba tunafanyaje... Atakutafuta namba uliyotumia kumtumia pesa si ipo hewani? Atakutafuta huku analia nakwambia. Nitumie tu namba yake na pia nitumie tsh 25,000 tu nimtumie Mtaalamu hapo Bagamoyo.