Kuna mmoja alijifanya Dc wa wailaya X sijui alipata wapi namba ananiambia nimtafutie vijana wawili waliomaliza chuo degree ila wawe wamepitia JKT mara ya kwanza nilijua ni kweli ila kutokana na code alizokuwa ananipa machale yakanicheza nikamwambia kuna msela afuatilie hizo namba si nikaambiwa ni tapeli mkubwa tena wanamvizia wamshike nikamcheki kistaarabu nikamwambia nimeshtukia mchezo wako wazee matusi najua ila toka nimezaliwa sija wahi kutukanwa vile kama huyo mtu anasoma hapa heshima yako mkuu ila?