APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #21 tamuuuuu said: Matapeli wanaoongoza kutapeli ni hawa wa vifurushi na wale ambao wanasema wana uwezo wa kufanya ukajua mawasiliano ya mpenzi wako sms,calls n.k Wanawapiga sn watu hizi 30,000, 20,000 n.k.Halafu hawataji hela kubwa Click to expand... Huyu mbwa nikimjua na mchomeka vijiti
tamuuuuu said: Matapeli wanaoongoza kutapeli ni hawa wa vifurushi na wale ambao wanasema wana uwezo wa kufanya ukajua mawasiliano ya mpenzi wako sms,calls n.k Wanawapiga sn watu hizi 30,000, 20,000 n.k.Halafu hawataji hela kubwa Click to expand... Huyu mbwa nikimjua na mchomeka vijiti
prumpeti JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 1,023 Reaction score 2,315 Jan 7, 2023 #22 APPROXIMATELY said: Ila mkuu lazima mmoja afe ndo wengine wajifunze Click to expand... Watu wanakufa kila siku kwenye aina hii ya wizi ila hawakomi yani wajinga hawaishi mjini sijasema we ni mjinga lakini😁😁😂😂😂
APPROXIMATELY said: Ila mkuu lazima mmoja afe ndo wengine wajifunze Click to expand... Watu wanakufa kila siku kwenye aina hii ya wizi ila hawakomi yani wajinga hawaishi mjini sijasema we ni mjinga lakini😁😁😂😂😂
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #23 Santos06 said: Majamaa Wana maneno matamu sana Click to expand... Jamaa limeniaminisha sana,ila jina lake nimelijua na babu kaniambia nimtumie majina yake mawili,limeishq
Santos06 said: Majamaa Wana maneno matamu sana Click to expand... Jamaa limeniaminisha sana,ila jina lake nimelijua na babu kaniambia nimtumie majina yake mawili,limeishq
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #24 prumpeti said: Watu wanakufa kila siku kwenye aina hii ya wizi ila hawakomi Click to expand... Utapeli hauwezi kupunguwa mjini
prumpeti said: Watu wanakufa kila siku kwenye aina hii ya wizi ila hawakomi Click to expand... Utapeli hauwezi kupunguwa mjini
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,449 Jan 7, 2023 #25 APPROXIMATELY said: Kwani haujawahi kutapeliwa?? Click to expand... Nafikiria..... lini nilitapeliwa kwa kupenda vitu vya bei chee halafu nikalalamika Ukipenda rahisi kubali matokeo
APPROXIMATELY said: Kwani haujawahi kutapeliwa?? Click to expand... Nafikiria..... lini nilitapeliwa kwa kupenda vitu vya bei chee halafu nikalalamika Ukipenda rahisi kubali matokeo
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,902 Reaction score 31,156 Jan 7, 2023 #26 APPROXIMATELY said: Jamaa limeniaminisha sana,ila jina lake nimelijua na babu kaniambia nimtumie majina yake mawili,limeishq Click to expand... Chizi Maarifa ngoja aje akusaidie hyuu mwamba
APPROXIMATELY said: Jamaa limeniaminisha sana,ila jina lake nimelijua na babu kaniambia nimtumie majina yake mawili,limeishq Click to expand... Chizi Maarifa ngoja aje akusaidie hyuu mwamba
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,214 Jan 7, 2023 #27 Usiseme nimetapeliwa sema nimepewa funzo
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #28 mama D said: Nafikiria..... lini nilitapeliwa kwa kupenda vitu vya bei chee halafu nikalalamika Ukipenda rahisi kubali matokeo Click to expand... Siku yako inakuja kwanza utatepeliwa mapenzi🤫
mama D said: Nafikiria..... lini nilitapeliwa kwa kupenda vitu vya bei chee halafu nikalalamika Ukipenda rahisi kubali matokeo Click to expand... Siku yako inakuja kwanza utatepeliwa mapenzi🤫
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jan 7, 2023 #29 APPROXIMATELY said: Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5. View attachment 2472149 Click to expand... Kama ni serlite 8 hizo
APPROXIMATELY said: Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5. View attachment 2472149 Click to expand... Kama ni serlite 8 hizo
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #30 Lucha said: Usiseme nimetapeliwa sema nimepewa funzo Click to expand... Jamaa limeniambia gb 60 za bure kweli limenishika
Lucha said: Usiseme nimetapeliwa sema nimepewa funzo Click to expand... Jamaa limeniambia gb 60 za bure kweli limenishika
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,449 Jan 7, 2023 #31 APPROXIMATELY said: Siku yako inakuja kwanza utatepeliwa mapenzi🤫 Click to expand... Shiñdwaaa
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,537 Reaction score 21,855 Jan 7, 2023 #32 Safi sana
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,422 Reaction score 5,480 Jan 7, 2023 #33 When the DEAL is so sweet
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,207 Reaction score 8,447 Jan 7, 2023 #34 When a Deal is too nice, Think twice
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #35 mama D said: Shiñdwaaa Click to expand... Utakuja huku kutoa mrejesho
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,214 Jan 7, 2023 #36 APPROXIMATELY said: Jamaa limeniambia gb 60 za bure kweli limenishika Click to expand... Tupo kazini tukikupiga hela usiseme tumekutapeli sema tumekupa elimu dunia... Kutuita matapeli unatuchafua
APPROXIMATELY said: Jamaa limeniambia gb 60 za bure kweli limenishika Click to expand... Tupo kazini tukikupiga hela usiseme tumekutapeli sema tumekupa elimu dunia... Kutuita matapeli unatuchafua
Nizhneserginsky JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 269 Reaction score 575 Jan 7, 2023 #37 "...umeyakanyaga" in mandonga voice
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,207 Reaction score 8,447 Jan 7, 2023 #38 HAYA LAND said: Acheni uvutaji wa bangi Ni hatari unaharibu ubongo Hadi unatamani vitu Rahisi Pole Mkuu Click to expand... Bangi haina huo Ujinga wa Mleta mada wa Kutaka kukanyaga ganda la ndizi
HAYA LAND said: Acheni uvutaji wa bangi Ni hatari unaharibu ubongo Hadi unatamani vitu Rahisi Pole Mkuu Click to expand... Bangi haina huo Ujinga wa Mleta mada wa Kutaka kukanyaga ganda la ndizi
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #39 Lucha said: Tupo kazini tukikupiga hela usiseme tumekutapeli sema tumekupa elimu dunia... Kutuita matapeli unatuchafua Click to expand... Siku nikimpata mmoja wao itakuwa funzo
Lucha said: Tupo kazini tukikupiga hela usiseme tumekutapeli sema tumekupa elimu dunia... Kutuita matapeli unatuchafua Click to expand... Siku nikimpata mmoja wao itakuwa funzo
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,737 Jan 7, 2023 Thread starter #40 MastaKiraka said: Safi sana Click to expand... Unafurahia mini kutapeliwa??