Leo hii na kesho angalieni uzalendo wa vyombo vya habari

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,693
149,916
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.

It is very hard to predict about the future, but it is very easy to predict about how some of our editors are going to behave under certain circumstances.
 
Sasa imefikia muda uoni ata humuhimu Wa kukaa saa mbili kuangalia taarifa ya habari yaani kuna uzalendo umepungua
 
Inawezekana labda hakuna Uhuru wa vyombo vya habari eti.
 
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna wahariri kwao hii haitokuwa habari kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtjua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Mdau.......upo sahihi kabisa.... ninasubiri kwa hamu kuuona uhuru wa vyombo vya habari ...
 
Sasa kama tayari habari umeshapata unataka ipewe kipaumbe cha nini badala ya kilimo cha Pareto Singida?!
 
Cloudstv kwenye ukurasa wao wa instagram wameshasema tusikose taarifa ya habari ambayo itakuwa na taarifa za chama cha wananchi CUF KUIBIWA PESA
 
Hii issue ya CUF ni kubwa sana.

Nashangaa mpaka sasa mamlaka zote zinazohusika na Fedha serikalini walitakiwa wawe wengine wapo lock up.

Lakini kwa jambo hili utaona namna serikali hii ilivyo.

Na sitashangaa comments za watu wengine ambao watasema kwamba "waliofanya huu mchezo ndio wanaomrudisha Pogba nyuma kwenye mapambano yake... bla bla bla "..

Tusidanyane hii issue ya CUF lazima Pogba anaijua na ndie alietoa baraka zake ifanyike hivyo lengo likiwa ni namna ya kum suppress Maalim Seif na kumlinda Prof uchwara.

Then mtu wa namna hii anakuja kutuambia yeye ni msema kweli, yeye ni mtu wa wanyonge, yeye tumuombee..!!

Yani such a dirty game on money laundering inafanyika waziwazi na kuwa supported na watawala.

Hii ni kuthibitisha kwamba games like EPA, Escrow nk nk vina wazoefu kwenye mamlaka zetu za fedha.

Aibu kubwa kwa serikali na ni aibu kubwa zaidi kwa mamlaka zote za fedha za nchi hii kwa walichofanyiwa CUF.
 
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtjua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Kwani ni lazima watangaze hii habari? kwani kuna habari ngapi za kutangaza?
 
Cloudstv kwenye ukurasa wao wa instagram wameshasema tusikose taarifa ya habari ambayo itakuwa na taarifa za chama cha wananchi CUF KUIBIWA PESA
Ahsante kwa kutujuza tufuatili,vyombo vingine vitakaushia,wanafisidi kodi yetu tu
 
Hii issue ya CUF ni kubwa sana.

Nashangaa mpaka sasa mamlaka zote zinazohusika na Fedha serikalini walitakiwa wawe wengine wapo lock up.

Lakini kwa jambo hili utaona namna serikali hii ilivyo.

Na sitashangaa comments za watu wengine ambao watasema kwamba "waliofanya huu mchezo ndio wanaomrudisha Pogba nyuma kwenye mapambano yake... bla bla bla "..

Tusidanyane hii issue ya CUF lazima Pogba anaijua na ndie alietoa baraka zake ifanyike hivyo lengo likiwa ni namna ya kum suppress Maalim Seif na kumlinda Prof uchwara.

Then mtu wa namna hii anakuja kutuambia yeye ni msema kweli, yeye ni mtu wa wanyonge, yeye tumuombee..!!

Yani such a dirty game on money laundering inafanyika waziwazi na kuwa supported na watawala.

Hii ni kuthibitisha kwamba games like EPA, Escrow nk nk vina wazoefu kwenye mamlaka zetu za fedha.

Aibu kubwa kwa serikali na ni aibu kubwa zaidi kwa mamlaka zote za fedha za nchi hii kwa walichofanyiwa CUF.
Mungu anawaumbua mkuu.
 
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Nakuelewa vizuri Mkuu. Hata hili baa la ukame na njaa, kuna media wala hazisemi, kanakwamba wana sayari yao.
 
Hii issue ya CUF ni kubwa sana.

Nashangaa mpaka sasa mamlaka zote zinazohusika na Fedha serikalini walitakiwa wawe wengine wapo lock up.

Lakini kwa jambo hili utaona namna serikali hii ilivyo.

Na sitashangaa comments za watu wengine ambao watasema kwamba "waliofanya huu mchezo ndio wanaomrudisha Pogba nyuma kwenye mapambano yake... bla bla bla "..

Tusidanyane hii issue ya CUF lazima Pogba anaijua na ndie alietoa baraka zake ifanyike hivyo lengo likiwa ni namna ya kum suppress Maalim Seif na kumlinda Prof uchwara.

Then mtu wa namna hii anakuja kutuambia yeye ni msema kweli, yeye ni mtu wa wanyonge, yeye tumuombee..!!

Yani such a dirty game on money laundering inafanyika waziwazi na kuwa supported na watawala.

Hii ni kuthibitisha kwamba games like EPA, Escrow nk nk vina wazoefu kwenye mamlaka zetu za fedha.

Aibu kubwa kwa serikali na ni aibu kubwa zaidi kwa mamlaka zote za fedha za nchi hii kwa walichofanyiwa CUF.

Hili ndo tatizo lenu.
 
Ameibiwaje Fedha nyingi kiasi hicho?? Na watu binafsi au na Benki? Kama na watu binafsi utakaaje na pesa nyingi kiasi hicho??
 
Back
Top Bottom