Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,849
Usipangie mtu atangaze nini kwenye kituo chake
UoniSasa imefikia muda uoni ata humuhimu Wa kukaa saa mbili kuangalia taarifa ya habari yaani kuna uzalendo umepungua
Wangekuwa wameiba Pesa hao CUF tungerusha ila huo uzembe wao haturushi. Kwanza wameibiwa na nani?CUF kuibiwa fedha si habari - kwani ni kawaida tu. Habari ni CUF kuiba fedha.
pareto..Sasa kama tayari habari umeshapata unataka ipewe kipaumbe cha nini badala ya kilimo cha Pareto Singida?!
Hata mi nashangaa kwakweli.Kwani ni lazima watangaze hii habari? kwani kuna habari ngapi za kutangaza?
Ina umuhimu gani hiyo habari???waache kuripoti vitu vya maana waripoti vitu vya kufikirika kwa manufaa ya wachache wenye ugomviKuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.
Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.
Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.
Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
It is very hard to predict about the future, but it is very easy to predict about how some of our editors are going to behave under certain circumstances.
Mungu akikuchoka ni hatari sana.Wacha waendelee kuumbuka.Mkuu hii habari imedhalilisha viongozi wote wa Tanzania , ni habari ambayo imetoka kwa bahati mbaya sana ! Hawakutaka ivuje hata chembe , na huenda ikamgharimu kazi Mutungi ili kuficha aibu .
Shukrani kwa Mungu aliyewezesha mmoja wao ambaye ni mkubwa sana kuvujisha taarifa yote katika kiwango cha KUMVUA TAULO MTU MZIMA SOKONI .
Nchi hii tunakoelekea siko kabisa, tusipoangalia tutaanguka kifo cha Mende.Nahisi aliyevujisha hili itakuwa alipunjwa mgao
Wala uhuru wa mwenye habari.....Inawezekana labda hakuna Uhuru wa vyombo vya habari eti.
Mnaandika vitu mimi hata sielewi zaidi ya kusoma CUF kuibiwa hela mara habari ya Mtatiro nashindwa kuelewa Mtatiro ndo kaiba hela za CUFNchi hii tunakoelekea siko kabisa, tusipoangalia tutaanguka kifo cha Mende.
Huyo ni Team Lipumba , hata akija atakuja na maelezo ya kanda ya ziwa tu .Wapi Paschal Mayalla
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.