Leo hapa.... Sijui???

Itakuwa Moshi hapo, huko nyuma kutakuwa na sufuria la mchemsho and the like.
 
Hizo ni kreti mbili tu, iwapo mmoja anaweza maliza chupa 12, sioni cha ajabu apo, ni tabia za kiapolo na ki-miner.
 
Dah hii sasa sifa ndo maana wanaongoza kwa maandamano yaleeeee
 
chupa tano kwanza nichangamshe akili
 
Halooo!Watu hawataki kusumbua wahudumu na kuchomekeana bili kreti kreti ndo mpango duuuuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…