Leo Bungeni Dodoma na Profesa Sospeter Muhongo

Leo Bungeni Dodoma na Profesa Sospeter Muhongo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa ushauri juu ya:

(i) Uboreshaji wa sera yetu ya maafa
(ii) Upatikanaji wa ajira nchi za nje

Mbunge huyo amesema ajira za nje ya nchi zetu ni bidhaa mpya Duniani ambayo mwaka jana (2024) ilikuwa ya thamani ya USD bilioni 905.

Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

 
Back
Top Bottom