Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,351
Dakika zilizobakia hazimruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama...
Vema, naona jamaa wameweza kuthibitisha kuwa wanaweza. Na azam wanaendekeza wimbi la matokeo mazuri zaidi ugenini kuliko Mchina Stadium Jiangfang...