johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,015
- 142,055
Usiseme hatuna sema sinaHatuna huo muda mchafu
Yule aliye claim kuwa ni mtengenesaji lakini ukienda kwenye link za Pfizer hayuko?Akihubiri kanisani kwake siku ya jumapili askofu Gwajima alisema leo jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.
Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Endelea kusambaza mbege hapo usseri!Hatuna huo muda mchafu
Naona wewe na elimu ya sayansi mbali mbali.Hatuna huo muda mchafu
Hayo ni mawazo yako hapo Ufipa!Anyone who listens to fake Pastor like Gwajima is stupid & fake as well.. Fake follows fake. Period.
Akihubiri kanisani kwake siku ya jumapili askofu Gwajima alisema leo jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.
Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Wajinga kweli ndio waliwao. Watafiti wa kemia na baiolojia wanahusiana nini na chanjo? Na nani alimwambia kuna mtengenezaji mmoja chanjo ya Pfizer?Akihubiri kanisani kwake siku ya Jumapili askofu Gwajima alisema leo Jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.
Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Sayansi siyo vyeti bwashee.Ndiyo maana wazungu wanatuona manyani,yeye Gwajima anachanjo gani aliyoigundua ili waipime ubora,
Tapeli asiye mwanasayansi anafanya mahojiano na wanasayansi?
Wewe utakuwa mhasibu mdogo yaani book keeper!Wajinga kweli ndio waliwao. Watafiti wa kemia na baiolojia wanahusiana nini na chanjo? Na nani alimwambia kuna mtengenezaji mmoja chanjo ya Pfizer?
Amandla...
Hauna wewe mjinga mjinga usiependa kujifunza..wengine tunataka maarifa, nitaangalia.Hatuna huo muda mchafu
Mbona Dr Mashinji aliongoza Chadema kwa mafanikio makubwa?Askofu mwanasiasa aongoze vipi mjadala na wanasayansi?