Jambo moja muhimu,
kula kiti moto na nyama zaidi ya average,
ni chanzo kimoja kikubwa cha magonjwa ya moyo na,
Kisukari.
Ni vema tuimarishe huduma za afya,
hasa huduma ya KINGA.
Kupimwa afya zetu iwe ndiyo utamaduni wetu mpya.
Zamani watu tulikuwa tukila nyama ya Pig mra moja kwa miezi 6,
sasa hivi tunakula kila jioni.
Fedha za Tiba tunajengea maghorofa,
sasa tukiugua sijui viambaza vitatutibu????!!!!!!