Leo afadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo afadhali

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mzito Kabwela, Aug 20, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Wakuu angalau kidogo biashara yangu leo imekwenda vizuri, siku chache zilizopita hali ilikuwa mbaya...


  [​IMG]
   
 2. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Walaji wa kitimoto wamemaliza mfungo!!! Duh, bei itapanda nini!??
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Du, umeamsha mzuka, ngoja nitoke nikapate kidogo
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama kuna uhusiano kati ya mfungo na biashara kuwa mbovu karibu mwezi mzima ulioisha
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  MKUU HIZO NI KEJELI, HESHIMU IMANI YA WENZAKO.
  Haya ndio mambo yanayojenga chuki kwenye jamii,
  mwisho wa siku tunalalamika kuna udini kumbe sisi wenyewe ndio chanzo.
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  aisee......never assume...............
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  mbona chumvi inaonekana kuliwa zaidi kuliko nyama yenyewe?
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Sawa wakati wewe upo kwenye biashara yako bar mimi nilikua guest na wandani wako umpendae.NGOMA DRAW!!!
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  580802_421173824595923_297103069_n (1).jpg
  ............................wa kunukuuuuu...........................
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usilete injili kwenye mambo ya makulaji.
   
 11. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  HATA HII ILIKUWA IMEDOLOLA. Ila wanakuambia Usimwambie Mtu
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Halafu Mkuu lazima Degree yako ya kurosti utakuwa umeipatia Majuu, manake mm hapa mate yamejaa, ngoja nichepuke kidogo nije nikutafute unitengenezee kilo mbili rosti, pilipili kwa mbaaaali na ndimu sio limao.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,457
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280

  Sasa kucheuwa kwa nguruwe kunatuhusu nnini siye Waafrika? Hayo si magizo kwa Waarabu na Wazayuni? Hata hilo torati si Uafrika!!
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wacha bwana hiyo ni agano la kale agano jipya Mungu hajaumba najisi bwana la sivyo kwanini alimuumba huyu nguruwe ?kweli naenda tafuta hii kitu leo nusu roho intoke kwa uroho wangu
   
 15. c

  chi-boy Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole kwa mfungo..
   
 16. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu naunga mkono hoja 100%. Watajiju....
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mna munea mkuu wa meza lakini Pia imeandikwa hivi "...kamwe msile ngamia, sungura na pelele" (Kumbukumbu la oTorati 14:7).
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Astagafulullah
   
 19. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  tutafanyaje sasa waislamu tunaipenda hiyo.plizi usimwambie mufti na kadhi wasije wakatukata mikono
   
 20. Ellie

  Ellie Senior Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DAh, jamaa kaamsha hisia zangu juu ya hii kitu, leo jioni lazima nikapate kidogo kutuliza mtima, huku kwetu kuna mahali wanaitengeneza vizuri especially ile ya kurost na kuchoma ni balaa.
   
Loading...