Leo afadhali

aisee......never assume...............
MKUU HIZO NI KEJELI, HESHIMU IMANI YA WENZAKO.
Haya ndio mambo yanayojenga chuki kwenye jamii,
mwisho wa siku tunalalamika kuna udini kumbe sisi wenyewe ndio chanzo.
 
mbona chumvi inaonekana kuliwa zaidi kuliko nyama yenyewe?
Wakuu angalau kidogo biashara yangu leo imekwenda vizuri, siku chache zilizopita hali ilikuwa mbaya...


 
Sawa wakati wewe upo kwenye biashara yako bar mimi nilikua guest na wandani wako umpendae.NGOMA DRAW!!!
 
wacha bwana hiyo ni agano la kale agano jipya Mungu hajaumba najisi bwana la sivyo kwanini alimuumba huyu nguruwe ?kweli naenda tafuta hii kitu leo nusu roho intoke kwa uroho wangu

Pole kwa mfungo..
 
tutafanyaje sasa waislamu tunaipenda hiyo.plizi usimwambie mufti na kadhi wasije wakatukata mikono
 
DAh, jamaa kaamsha hisia zangu juu ya hii kitu, leo jioni lazima nikapate kidogo kutuliza mtima, huku kwetu kuna mahali wanaitengeneza vizuri especially ile ya kurost na kuchoma ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…