.. mi huwa naona hata smartphone iwe nzuri vipi.. kama siwezi kuichaji asubuhi nikarudi nayo jioni ikiwa bado na charge, kwangu hiyo haifai.
Umepata wapi hiyo takwimu kwamba kwenye computer wao wanaongoza?Kwenye komputer wao wanaongoza...
Kukaa na charge siku 3 sio sababu ya kusema "this is the best thing." Hata zingekuwa siku kumi!Kama unaweza kukaa na smartphone kwa siku 3 bila kuichaji then this is the best thing.
Bei yake ni affordable, affordable kwa nani???Bei yake ni affordable ni Dollar 230
Umepata wapi hiyo takwimu kwamba kwenye computer wao wanaongoza?
Unajua unaweza kusema kitu kimoja tu uka discredit anything else you say kwa saab unaonekana kabisa you don't know what you are talking about.
Kukaa na charge siku 3 sio sababu ya kusema "this is the best thing." Hata zingekuwa siku kumi!
Charge sio kigezo pekee cha kutathminia simu.
Bei yake ni affordable, affordable kwa nani???
Dollar 230 kwa Watanzania wengi sio affordable! Don't be out of touch.
Fuatilia mambo mkuuUmepata wapi hiyo takwimu kwamba kwenye computer wao wanaongoza?
Unajua unaweza kusema kitu kimoja tu uka discredit anything else you say kwa saab unaonekana kabisa you don't know what you are talking about.
Kukaa na charge siku 3 sio sababu ya kusema "this is the best thing." Hata zingekuwa siku kumi!
Charge sio kigezo pekee cha kutathminia simu.
Bei yake ni affordable, affordable kwa nani???
Dollar 230 kwa Watanzania wengi sio affordable! Don't be out of touch.
Lenovo inauza devices 4 kila SEKUNDE MOJA.
inaweza kuwa ni android inayokaa na chaji sana duniani ila simu inayokaa sana na chaji (atleast according to gsmarena) ni king wa simu ambaye siku zote kampuni za simu zinatamani kuwa kama yeye.
samsung anauza simu 13 (sio device sijaeka tablet wala computer) kwa kila sekunde.
nokia anauza simu 8 kila sekunde.
Asante sana chief mkwawa. Nakukubali sana mkuu but according to Nokia Lumia 1520 vs Lenovo P780 (8GB) | SmartPrix inaonekana lenovo ina 55% longer talk time than Nokia lumia 1520 pia kumbuka battery ya hii lenovo P780 ni 4000mAh wakati ya hii Nokia ni 3400mAh. Hapo unaonaje mkuu. Lengo sio kubishana but kufikia conclusion nzuri na fair kwa kutumia facts.
inaweza kuwa ni android inayokaa na chaji sana duniani ila simu inayokaa sana na chaji (atleast according to gsmarena) ni king wa simu ambaye siku zote kampuni za simu zinatamani kuwa kama yeye.
Ninakubaliana na hilo that's why nilicomment hapo juu kuwa Katika soko la hizi Smartphones list ipo hivi:
1. Samsung
2. Apple
3. LG
4. Lenovo
Chief kumbuka lenovo ni late comer kwenye smartphone businesses lakini ameweza kupaa sana. Anastahili pongezi nafikiri