Lenovo A308t Recovery Mode Problem

Lenovo A308t Recovery Mode Problem

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,831
Habari zenu wakuu. Hii phone ni cha ndugu yangu sasa hakaingii Recovery Mode (Yaani nimejaribu possible buttons zote). Baada ya kugoogle nikaona pia kuna baadhi ya lenovo hazina Recovery mode. Kwa mwenye guide ya kuroot na kuinstall Recovery Mode kwenye Device zenye Android OS naomba atoe msaada kwa wote.
🙂 THANKS IN ADVANCE!!
 
kaka nilikua nakuangalizia online hapa simu yako IPO hivi.

in simu ya mediatek

inatumia chip hii MT6572 ya mediatek hivyo ni kama bidhaa nyengine za kichina hazieleweki simu/tablet zote zilizotengenezwa na hio chip hazina recovery mode hivyo si yako tu wala usishangae.

unachotakiwa kufanya
hapa itabidi ujipinde kidogo utatakiwa ufanye hivi.
1. uroot simu yako kwanza
2. uinstall manually clock work mod

hii clockworkmod ndio recovery maarufu ya android ukiweza kuieka kwenye simu tatizo litaisha.

jaribu kufanya mwenyewe patapokushinda tutasaidiana.
 
Thanks mkuu. Nimetembelea website ya Addictive tips, wameelezea kwamba ni-root kwa kutumia GingerBreak ambayo rooting software ya Android Gingerbread. Halafu nitumie ROM Manager kuflash CWM Recovery. Lakini nikatembelea Forum ya Phandroid wakasema kwamba unatakiwa utafute recovery image inayoendana na simu yako, hapo mkuu ndiyo nikachanganyikiwa kidogo maana nimeshindwa hata pa kuanzia.
 
kaka kuroot ni must anza na hapo.

kuhusu recovery wenyewe clockworkmod ndio wanatoa kila simu na recovery yake. ila nimecheki list yao sasa HV sjaiona simu yako.
ClockworkMod ROM Manager - Recoveries

ila nakumbuka jamaa wana app yao IPO play store ambayo automatic inadetect simu kisha kuinstall Hio recovery. app inaitwa ROM manager kama itakubali kwako inamaana Hata step zitakua rahisi.

1.root simu
2. install ROM manager toka playstore iache imalize mambo yake
 
Nashukuru sana. Nikifanikiwa nitatoa feedback
 
Back
Top Bottom