Lengo la third interview kwenye international NGO

Lengo la third interview kwenye international NGO

Asante sana, ni zaidi ya mwaka umepita sasa tangu utoe huu ushauri na wakati nasoma sikupuuza niliweka kwenye kumbukumbu zangu na leo mwaka 2025 nimetumia hizi mbinu na nimepata kazi kwenye kampuni ipo USA. Hakika nimeweza kuwagaragaza wahindi na wanaijeria kwa kutumia mbinu hii maana kwenye technical skills na kujieleza sio kama ni bora zaidi ya hao candidates wengine ila ni Mungu na hizi mbinu za kivita 📌. Ubarikiwe sana
Hongera san Mkuu
 
Jiandae interview ya tatu kisha ya nne na ya tano tunakuja sisi, mpaka kupata kazi zitafika interview 9 au 10
 
Back
Top Bottom