Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
fanya kama ni yeyeLol!, Unekuwa wewe ningekushauri lakini kama ni rafiki yako mi napita tu.
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu

Asonge mbele. Hakuna cha kurogwa wala nini! Hizo ni excuses wanawake wanatumia kujifariji kana kwamba waume zao they can't help it, ni shetani tu amempitia. Hapana! Hizi ni njia mojawapo wanaume wanatumia kujustify huu ujinga. Kila siku nenda rudi ni wao tu wanatembea nje na kuzaa na nyumba ndogo ? Mbona kinamama waorogwa kuzaa na shamba boy si wengi? Sijawahi kusikia hilo.
Miaka 12 tayari alishabadilisha majina kwenye hati? Kama inawezekana waende kubadilisha majina tena kama proof kwamba anampenda na anataka waishi pamoja. Akikataa ajue hana mtu hapo, asonge mbele asisubiri miujiza.
na wewe unaamini mumeo alilogwa?.......