Lengo la mume huyu ni nini?

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,021
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
Anataka kuachwa? anataka kujua namna ya kuishi na mume wake kwa amani? au anataka kuachana apate mgao wake? au kumroga mume wake?
 
Mh ndoa yangu na Arushaone bado kabisa sina uzoefu ila dada ulikosea hakuna kitu kinachosimamisha ndoa kama maombi ya kweli na sala,bila kuchoka tubu muite tena Mungu,hakika utamuona hakuna jambo gumu kwa Mungu,kwingine kote unapoteza muda,
 
Lol!, Unekuwa wewe ningekushauri lakini kama ni rafiki yako mi napita tu.
 
kiukweli ninayo mengi ya kusema hapa ila kakua sio wewe muhusika ngoja nikae kimya.
 
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu

Dada naona na wewe mshirikina umewajuaje hao waganga.penzi likiisha limeisha hakuna cha mganga wala nini.kwa nini una imani Za waganga?mbona harusi unafunga kotini,kanisani,msikitini,.kwani ulifunga kwa mganga.mambo gani hayo,ndio maana hamfanikiwi mungu akubariki na pesa halafu unazipeleka kwa shetani wewe.Uhamie Haiti mungu amekupa mwanaume unampeleka kwa waganga tena.you deserve it na akuache ili apate mwingine.
 
Asonge mbele. Hakuna cha kurogwa wala nini! Hizo ni excuses wanawake wanatumia kujifariji kana kwamba waume zao they can't help it, ni shetani tu amempitia. Hapana! Hizi ni njia mojawapo wanaume wanatumia kujustify huu ujinga. Kila siku nenda rudi ni wao tu wanatembea nje na kuzaa na nyumba ndogo ? Mbona kinamama waorogwa kuzaa na shamba boy si wengi? Sijawahi kusikia hilo.

Miaka 12 tayari alishabadilisha majina kwenye hati? Kama inawezekana waende kubadilisha majina tena kama proof kwamba anampenda na anataka waishi pamoja. Akikataa ajue hana mtu hapo, asonge mbele asisubiri miujiza.

Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
Asonge mbele. Hakuna cha kurogwa wala nini! Hizo ni excuses wanawake wanatumia kujifariji kana kwamba waume zao they can't help it, ni shetani tu amempitia. Hapana! Hizi ni njia mojawapo wanaume wanatumia kujustify huu ujinga. Kila siku nenda rudi ni wao tu wanatembea nje na kuzaa na nyumba ndogo ? Mbona kinamama waorogwa kuzaa na shamba boy si wengi? Sijawahi kusikia hilo.

Miaka 12 tayari alishabadilisha majina kwenye hati? Kama inawezekana waende kubadilisha majina tena kama proof kwamba anampenda na anataka waishi pamoja. Akikataa ajue hana mtu hapo, asonge mbele asisubiri miujiza.

It is true.penzi limeisha siamini mambo ya waganga
 
Kosa lako bi dada ni moja tu, ndoa ulifunga mbele za Mungu na ulifungishwa kwa uwezo wa Mungu, lakini suluhisho la matatizo ya ndoa yako umeenda kulitafuta kwa mganga wa kienyeji mwenye macho mawili, nguru mbili na matatizo kama wewe.
Rudi mwanzo kabisa ulipofungia ndoa yako...
 
Mume wako umemroga wewe mwenyewe kwa kumwendea kwa fundi ukizani una mtibu kumbe ulikuwa una mharibu!

Kwa nini uishi maisha ya kuchukua maneno kwa marafiki na kuyaweka kwenye ndoa yako?
Kwa nini usinge kwenda kanisani?
Sitoshangaa kwani hata kumuendea kwa fundi ulipewa ushauri na rafiki yako, so bad!

Bado sijajua ulifanya uchunguzi gani kugundua mumeo amerogwa
Ni vyema ukawa na tabia ya kukaa chini na kuongea na mumeo au kumuomba mungu akusaidie kuliko kwenda kwa waganga!

Kaa chini na mumeo muongee na muyamalize kuna uwezekano bado ana kupenda!
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom