Wewe unaelewaje maana ya neno dini ni nini halafu
2: jiulize je kuwa na dini ni lazima?
3:jiulize dhumuni la mungu kumuumba mwanadamu ni nn?
kwa nini nikae kimya? kwani kuna uhusiano gani kati ya kufikiria kuhusu uwepo wa mungu na uwenda wazimu?Mbulaaa......unautak auwendawizumu muda sio mrefu! AAcha kabisa kufikiri juu ya uwepo wa Mungu,..
Wewe kama unaamini hayupo kaa kimya..
Kama unaamini yupo, endelea kumwabudu na kumsifu milele!
hakuna evidence kwamba mungu amemuumba mwanadamu.
na kama ni kweli mungu alituuumba na kama anajali kuhusu sisi, basi yeye anajukumu la kutuweka clear dhumuni lake ni lipi?
mimi sioni sababu ya kujifanya tunalifahamu dhumuni la mungu(ambaye haeleweki kama yupo au hayupo).
kwakiasi furan nipo upande wako deni maana wakat mwingine nashindwa kuelewa ni zumun gan ama lengo gn lilifanya tuwe na hisi dini mbili, tena zikiwa sinakinzana kwakiasi kikubwa japo zote zinadai zana mwabudu Mungu mmoja..! swali kama dini zote zina mwabudu Mungu mmoja ni kipivi ziwe zinatofautino ktk vitambu vyao haswa swala la umbaji?? wenye kujua ukwel wa hii kitu atujuze tafaze zaidi
kwani kuna ubaya gani wewe mwenyewe ukanieleza maana ya hilo neno? mimi sipo hapa ku-act kama najua kila kitu... mimi nakuruhusu unaweza kuendelea na kunielewesha unachoisi sikielewi.Umeuliza lengo la "dini" ni nini. Mwisho ukaishia kuuliza kuhusu "religions".
Nilichokiona hapo, kwanza kabisa hauelewi maana ya neno "dini", ukiielewa utajuwa kuwa "dini" haina lengo.
Kwanza jifunze uelewe maana ya neno "dini" na neno "religion" na uelewe kuyatofautisha, kisha urudi hapa kuuliza vizuri.
Zaburi 14:1...Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu.....nakuomba hebu jiepushe na jina la upumbavu kwa kuamini kuwa yupo...halafu mambo mengine ya uelewa yatafuata
mie nipo tu duniani, ili nishi. na kuishi huko patafika mwisho pale nitakapokufa. na maisha yataendelea kwa watu na viumbe vingine, nao watakufa badae.. kwangu mie naona ulimwengu ni ON AND OFF SYSTEM sio kwa binadamu tu pekeake, bali na kwa wanyama na mimea na kila kitu kilichopo. kwa hiyo mimi na wewe tupo kama vile kiumbe kingine kilivyo na tuna-obey natural laws. (mtazamo wangu huu unaweza ukabadilika wakati wowote nitakapopata fact nyingine zenye mashiko zaidi)