Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

Ndio.

DC ni mwakilishi wa Rais wilayanil, kila kitu ni kazi yake.

Not least Usalama wa wilaya.

Mtu ana matenki ya Dizeli ndani ya jengo, hilo halihusiani na usalama wa watu ?

Halmashauri ya Hai ilikuwa ya 112 katika ukusanyaji kodi. Chini ya Sabaya ikawa ya sita nchi nzima. Kwa sababu Sabaya alikuwa anawakokota TRA wakakusanye kodi.

Tuna upungufu mkubwa Afrika wa viongozi wa mithili ya Ole Sabaya.
Unachekesha sana
 
Heshima kwako Rais Samia Suluhu! Ishi kama jina lako! Suluhisha!! Ukiwa mwema Mungu atakulinda lakini ukiwa mbaya malipo yatakuwa hapa hapa duniani!! Big up!! Conduct reconciliation proccess ili Tz iwe moja tena na hapo utafurahia utawala wako!! Bila suluhu utakuwa na wakati mgumu na uchumi wetu utaangamia!!
Mungu awe nawe daima!!
 
Hakuweza kuonyesha leseni ya biashara ya bia, makreti elfu tano

Alikuwa na shehena ya mapipa ya petroli na dizeli ndani ya go down. Kwa kusindwa kufuata taratibu za kutunza mafuta angeweza kulipua Hai nzima kwa moto

Hizo ni probable cause za kutosha kumkamata kwa kukwepa kodi, kuhujumu uchumi, kuhatarisha maisha ya watu...

Unapendekeza DC afuate utaratibu gani kabla ya kumkamata, amuundie tume ya wahasibu?
Huu ni ushahid wa kusadikika tuu TRA wangetoa sababu za uvamizi, kisheria wangesema makosa yake lkn sio huyo jamaa yako. Hana uelewa wowote, inakuaje avamie hotel ya mtu saa nane za ucku? Kama sio ujambaz huo
 
Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.

Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.

Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.

Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.

Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.

Nitamkumbuka kwa taswira ile.

Hongera kwa kuiba na kujitajirisha 😂😂 watu vituko
 
Kwanini hakupeleka taarifa kwa mamlaka husika zikafanye kazi?

Huo ni uzandiki wa kisiasa tu hamna lolote
 
UPUUZI MTUPU!

Usiache kumkumbuka kwa vitendo vya unyang'anyi pia
 
Majizi na majambazi hamna nafasi kwa mama. Kufeni na nyie mkapumzike na jambazi tesaji na dhulumati kuu la nchi hii adhimu
 
Huyu sabaya na Makonda waisidie polisi ili kupata ufumbuzi wa case za wasiojulikana
 
Kwa nini mwanahabari asiwepo kwenye ambush?

Mfanyabiashara akisema DC Ole Sabaya kanikamata kwa vipe alikuja kuomba rushwa nikamkatalia, atajitetea vipi bila ushahidi wa camera ??

Na akishambuliwa akiuliwa kwenye ambush ya serikali saa sita usiku kwenye go down la mtu, kwa nini kusiwe na recording cameras ????
Kaka usijisumbue humu wamejaa wapumbavu, kazi yao ni kugeuza nyeupe kuwa nyeusi na nyeusi kuwa nyeupe. Infact, huu ni wakati wao, waache wafurahie kwa mapambio. Mungu ametupa mtihani mkubwa sana kumuondoa JPM mapema sana, lakini kila kitu kina makusudi yake. Tusubirie kusudio la mungu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Sifa ya kijinga kabisa hii, kwani angeenda mchana asingeona? Tatizo likishajulikana Luna haja gani ya kwenda usiku? Kuna haja gani ya kwenda na ma camera?
Acha kutetea upumbavu. Kwani kwenda usiku au mchana inaleta tofauti gani? Serikali ipo macho wakati wote. Umeshaambiwa biashara ni ya magendo, ulitegemea itakua wazi mchana? Yaani mmejawa na chuki mpaka mnatetea uhalifu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.

Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.

Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.

Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.

Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.

Nitamkumbuka kwa taswira ile.
Tuambie job descriptions za kuwa
1. DC
2.Afisa wa TRA
Mnatuona watanzania wote ni mazwazwa sio?
 
Na kwanini afanye msako usiku wa manane wakati wananchi walio wengi wakiwa wamelala Kama hakuwa anajitengenezea mazingira ya wizi na rushwa! Kwanini Kama alikuwa na taarifa za uhujumu uchumi hakusubiri kukuche? Huyu alikuwa jambazi tu na hakuna jina jingine zuri la kumuita!
 
Acha kutetea upumbavu. Kwani kwenda usiku au mchana inaleta tofauti gani? Serikali ipo macho wakati wote. Umeshaambiwa biashara ni ya magendo, ulitegemea itakua wazi mchana? Yaani mmejawa na chuki mpaka mnatetea uhalifu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Jiongeze na wewe khah! Sifa huua ujue! Hivi mwenye Mali angejihami kwa kudhani hayo ni majambazi ungeyaandika haya? Asubuhi haikuwa mbali angesubiri na hiyo ndiyo busara ya uongozi!
 
Sababu za Sabaya kuangua kilio pale Mkapa chozi jicho moja zimekwisha fahamika.
Alijua kuwa mtetezi wa upumbavu wake kafa hivyo hana maisha tena kwenye siasa, na ndio maana akaandaa mchongo wa kujisafisha Clouds lakini kumbe ndio katiba kabisa.
Miezi miwili kadoto siku kadhaa mama sio tuu kamtema bali kuagiza achunguzwe kuona jinai kama zipo (ambayo ni wazi hata mtoto anajua zipo) akanyee ndoo.
 
Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.

Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.

Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.

Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.

Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.

Nitamkumbuka kwa taswira ile.
Mh rais kajidhalilisha kupiat maelezo na itakuwa fimbo ya kutofanikiwa huko mbeleni. Alitakiwa amwite an kumwonywa kama msaidizi na mwanae kabla ya kuandika barua ya kumsimamisha hadharani kwa jinsi ile.

Mkurugenzi wa mawasiliano naye amekuwa mtu wakuchanganya zege za kila sampuli kuna siku na yeye atatumbuliwa bila hiyana.

Hakuna kijana atajitokeza kwa sasa kujiunga katika ujenzi wa nchi na Rais hasa akitokea chama tawala labda wale waliotemwa awamu iliyopita kwa rushwa, usaliti na uzandiki.

Huo ndio ukweli

Ni bora kwa sasa vijana wachamngamkie chama cha ACT Wazalendo ili kuifuta kabisa CCM
 
Back
Top Bottom