Lengai Ole Sabaya apewe mkoa wa Morogoro

Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Endelea kujipigia debe mkuu,vp ile inshu ya pale cocoriko ulimalizana na wale jamaa?
 
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo
Ili aende tena huko akafanye fujo Hotelini usiku
 
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Kwanini usipewe wewe hiyo nafasi?

Kama Ole sabay anakuzidi kwa kila kitu sipati picha wewe ni binadamu wa aina gani!

Kulikoni huyo ni heri aendelee tu Dr Kebwe Stephen!
 
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Hivi kama huna sifa ya kuwa .mwanafunzi wa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli unapata wapi sifa ya kuwa mwalimu wake
Mwacheni Rais afanye kazi zake kwa kuongozwa Na hekima Na maarifa itokayo kwa Mungu Mwenyezi.
 
Huo mkoa ni potential na kimsingi ni eneo la kuonyesha kuwa unaweza kuleta maendeleo kwa ku mobilize wananchi..tatizo ni competency ya aliye upewa...hapo angepewa mtu kama Comrade Tony wa Simiyu pangenogaa.

Sema ndio hivyo...
 
Umekuja kujiombea teuzi, haya wameshakusikia
 
Umepiga ile ya Njombe inakuvuruga
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo
 
Pumbafu sana wewe
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
 
Pale kinakuja kifaa kutoka Simiyu!

Jokate anaweza kusogea pia..... ameonyesha anaweza.

Maendeleo hayana vyama!
morogoro ina maendeleo?
unaposema hayana vyama maana yake nini? kwamba anateua wapinzani kama mghwira wawe waku wa mkoa morogoro, unajua nyie UVCCM kila uchao mnakosa reasoning capacity
 
Mkoa wa Moro ni mkoa wenye changamoto nyingi wakulima na wafugaji kupigana rushwa labda apewe Mataka
 
Back
Top Bottom