Lengai Ole Sabaya apewe mkoa wa Morogoro

Matangwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
825
Reaction score
1,541
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo
 
Pale kinakuja kifaa kutoka Simiyu!

Jokate anaweza kusogea pia..... ameonyesha anaweza.

Maendeleo hayana vyama!
 
Umetumwa au umevuta bange? Humu ndani kuna mijitu punguani sana
 
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo
Changamo ndio nini ?
Sabaya bana
 
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Pale kinakuja kifaa kutoka Simiyu!

Jokate anaweza kusogea pia..... ameonyesha anaweza.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ole sabaya hivi unajua mkuu wa mkoa wa Morogoro ni Medical doctor by professional from MUHAS??? Jipime Elimu yako na yake! Then angalia Cv yake na yako!!
Swala la Majanga ( natural disaster calamities) huwa halina alternatives hata ungekua wewe!
Ridhika na nafasi uliyo nayo!
 
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Iman yako baki nayo mzee baba, usitake tuamini unachokiamini!
 
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo
  • Huyu huyu Ole mpokea milungula, ndiyo unampendekeza apate promotiob na kuwa RC kweli?
 
Raisi hapangiwi yeye akiona anafaa haina shida hajawahi kutuangusha watanzania, jpm daima
 
Nadhani ni wakati muafa sasa mkuu wa wilaya ya Hai kupewa jukumu la kuongoza mkoa wa Morogoro.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba mkoa huu umeonekana kuwa na changamo

Chonde chonde tuna watoto wengi vyuoni wanasoma atawavurugia masomo!!!
 
Kama mh. Rais anatafuta mtu sahihi kwa wakati huu ili akabiliane sawa sawa na changamoto za mkoa wa Morogoro nadhani na ninaamini Ole Sabaya ni chaguo sahihi kabisa.
Najua bado ni kijana la aina yake ya uongozi ni itasaidia kukabiliana na matatizo yasiyoisha ya mkoa huo. Tumwombe mh. Rais ampe nafasi
Kwani aliyepo sasa Morogoro kafariki?
 
Kuhusu suala la milungula mamlaka iliyomteua nadhani ndo ina taarifa sahihi kuliko mwingine yoyote na ndo maana anaendelea na majukumu yake.
Waliomtengenezea tuhuma hizo wanajua pia kwa nini walimtengenezea tuhuma hizo.
 
Mtajuana wenyewe huko na li ccm lenu nchi imewashinda mmebaki na mbwembwe za kwenye kamera na kuzindua Viwanda vya zamani.
 
Mji kasoro bahari,wenye mito na bwawa kubwa lakini maji ni changamoto isiyopimika,umeme nao mita kadhaa kutoka mjini bado ni shida.

Nadhani sio mkuu wa mkoa tu,watendaji wengi wanapaswa kuondolewa hapo. Kwa jiografia yake na umaarufu,uwepo wa viwanda vya kutosha ilipaswa nao uwe jiji kitambo sana.

Ziara ya PM inaweza saidia hawa watendaji wakajitathimini na kubadili mienendo yao.
 
Ole sabaya hivi unajua mkuu wa mkoa wa Morogoro ni Medical doctor by professional from MUHAS??? Jipime Elimu yako na yake! Then angalia Cv yake na yako!!
Swala la Majanga ( natural disaster calamities) huwa halina alternatives hata ungekua wewe!
Ridhika na nafasi uliyo nayo!

Ukijua kusoma na kuandika ni CV tosha
 
Back
Top Bottom