Ni fitina tu za limwinyi la Hai wenye makosaa ni akina mdude Nyagali walikamatwa na Coccaine hand to handHuyu akiponyoka kwenye mashtaka yanayomkabili, wote walioko magerezani waachiwe tu.Huyu ana tuhuma nyingi Sana...
Tayari ulinzi wa leo unaonyesha huyu Kijana ni mkuu wa wilaya ya HaiWachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Bila ulinzi wananchi wenye hasira waliokuwa nje ya mahakama wangemuua
Mbowe aliwadanganya wanaume si mama Samia wanawake hawadanganyiki yaani chezea mama Samia wewe anaupiga mwingiBila ulinzi wananchi wenye hasira waliokuwa nje ya mahakama wangemuua
Tuhuma na ushahidi ni vitu viwili tofauti kabisa,tuhuma hua zinakua supported with clear evidence.Huyu akiponyoka kwenye mashtaka yanayomkabili, wote walioko magerezani waachiwe tu.Huyu ana tuhuma nyingi Sana...
Jifunze kutumia akili, waliolalamika walitoa ushahidi wazi hata kabla ya haya kutokea. Walinzi wake mwenyewe wanakiri baadhi ya makosa ikiwa ni utekaji wa wanawake. Sabaya, Mnyeti, Makonda, Ally Happy , Chalamila mojawapo ya viongozi wabovu na wajinga kuwahi kutokea katika hii nchi. Hawa walilelewa vibaya na mwendazake wakajisahau. Watu hawa wana malalamiko ambayo yanawagusa watu wengi.Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
I stand by Ole Sabaya; guilty or not guilty.Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.
Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Wachaga ni matapeli sana wanapenda vya bwerere kiukweli Sabaya atampumxishq Mbowe kwenye siasaMimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.
Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu.
Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.
Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
wewe Sabaya sio size yako kaa kimya unyamaze Mbowe mwenyewe si size ya Sabaya yaani ukimuongelea Sabaya nchi inatikisikaJifunze kutumia akili, waliolalamika walitoa ushahidi wazi hata kabla ya haya kutokea. Walinzi wake mwenyewe wanakiri baadhi ya makosa ikiwa ni utekaji wa wanawake. Sabaya, Mnyeti, Makonda, Ally Happy , Chalamila mojawapo ya viongozi wabovu na wajinga kuwahi kutokea katika hii nchi. Hawa walilelewa vibaya na mwendazake wakajisahau. Watu hawa wana malalamiko ambayo yanawagusa watu wengi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app