mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,410
- 4,988
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.
Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara
Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”