Tarehe 10 Februari 2025
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.
Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.