PreGE2025 Lembrus Mchome: Lissu hakubali kukosolewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli pesa kwa baadhi ya watu huwaondolea vyote. Yaani huyu akili yote kwisha. Amebakia anabwabwaja upuuzi.

Agenda ya NO REFORM NO ELECTION ni ya Lisu au ya CHADEMA? Kama hukubaliani na agenda ya chama, the best thing unatakiwa kufanya, ni kujiondoa. Maana unatakiwa kuwa ndani ya chama kwa sababu unakubaliana na falsafa na agendaza chama.
Hujasikikiza hata alichosema. Umekurupuka kama 99% ya JF members.

Anazungumzia vitu tofauti kabisa na unavyofikiri. Anazungumzia
kufuata kanuni, katiba ya Chadema, uhalali wa baraza kuu. Uhalali wa vikao, uhalali wa hizo chaguzi za baraza.
 
Anajionesha tu kuwa ni timu Mbowe. Sijui kwann hawa timu Mbowe hawataki kukubali kuwa uchaguzi ulishaisha na maisha yaendelee.
Usiangalie timu, jibu hoja yake. Ana hoja yenye mashiko au hana hoja yoyote?
 
Huyu mpuuzi kweli, anamkosoa LISSU au anamkosoa maamuzi ya Chama?.

Likichwa likubwa ila limejaa matope .
Lifukuzeni Chadema. Chadema na Mwenyekiti Lissu hawapaswi kukosolewa bwana. Anayetakiwa kukosolewa ni CCM tu! Lissu ni Dikteta na kila kitu kwake ni sahihi. Ukimkosoa Lissu ni kufukuzwa tu! Kwanza huoni Lissu kuwa anafanana na Kim Jong Un?
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.

Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”

View attachment 3297110
Hako kajamaa kanasaka uteuzi kama alivyokuwa Herry kileo mzee wa Tindikali na yericko Nyerere mzee wa unafiki
 
Kikundi cha G55 kazi yao ni kutengeneza mazingira ya kula pesa za ccm wakiwahidi kuivuruga chadema
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.

Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”

View attachment 3297110
Hawa wapumbavu wanataka lazimisha umaarufu ndani ya chama ambao hawana, ogopa sana mjinga anapoongea kwa kujiamini.
 
Tangu lini dikiteta, hata kama ni uchwara, akakubali kukosolewa au kupokea maoni tofauti na yake?
Btw, tuliwaambia huyu ni dikiteta, hamkutusikiliza, sasa jioneeni wenyewe.
Na lisu ukichanganya na tatizo la dishi kuyumba, hakyanani mtakiona cha moto.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.

Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”

View attachment 3297110
Huyu chama kimpuuze, baadae wamalizane naye anatuchelewesha
 
Lissu alimuita Mbowe ni Robert Mugabe. Ila Mbowe alivumilia hakumfukuza nafasi yoyote ya uongozi.
Lisu anavuna alichopanda,wanaomtetea ni watu wanaopenda mihemuko bila kutafakari.Aliona wenzake hawana akili,alichotenda yeye aliona ibada,ila akitenda mwingine ni uhalifu!!.
 
Kweli pesa kwa baadhi ya watu huwaondolea vyote. Yaani huyu akili yote kwisha. Amebakia anabwabwaja upuuzi.

Agenda ya NO REFORM NO ELECTION ni ya Lisu au ya CHADEMA? Kama hukubaliani na agenda ya chama, the best thing unatakiwa kufanya, ni kujiondoa. Maana unatakiwa kuwa ndani ya chama kwa sababu unakubaliana na falsafa na agendaza chama.
Hivi huko kwake anajenga chama saa ngapi?
 
Lisu anavuna alichopanda,wanaomtetea ni watu wanaopenda mihemuko bila kutafakari.Aliona wenzake hawana akili,alichotenda yeye aliona ibada,ila akitenda mwingine ni uhalifu!!.
Hakuna namna lissu ndo mwenyekiti wa chadema taifa mkuu, wanachama wote wanapaswa kumtiii
 
Hujasikikiza hata alichosema. Umekurupuka kama 99% ya JF members.

Anazungumzia vitu tofauti kabisa na unavyofikiri. Anazungumzia
kufuata kanuni, katiba ya Chadema, uhalali wa baraza kuu. Uhalali wa vikao, uhalali wa hizo chaguzi za baraza.
Huyu tumeshamchoka
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.

Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”

View attachment 3297110
Kitendo Cha kwendelea kutumia platform ya chama kumshambulia mwenyekiti wake na kupinga maadhimio ya Baraza kuu na bado yuko ndani ya chama mpaka muda huu ni uvumilivu wa Hali ya juu sana kutoka kwa viongozi wa juu. Na Mimi naona hapo ndo udhaifu wa vyama vya upinzani ulipo wanachama hawana nidhamu Wala hawaheshimu viongozi wao, kalete huo usenge CCM uone.
 
Hii project ya Lumumba inaonekana vizuri sana kama mtu una akili.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.

Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”

View attachment 3297110
Huyu aondolewe na chama, anatengeneza divisions tu wakati ni kiongozi. Alianza kukosoa baraza kuu hadi anshtaki kwa msajili wa vyama, baadae akahamia akitaka Mnyika aondolewe, ghafla leo anamgeukia Lissu. Huyu sio wa kumchekea yuko radhi hata asingizie ametekwa ilia kumchafua Lissu!!!

Aondolewe, wasije kujuta baadae.
 
Amesema akidi ya baraza kuu haikufikiwa. Walikuwepo Mchungaji Mapinduzi, Mwaipaya, Pambalu, Mwamakula ambao sio wajumbe. Hawa wote walipiga kura kama wajumbe wa baraza, technically Mchome yupo 100% sahihi kanuni zilikiukwa. Japo motivation yake inaweza kuwa ni hasira, disappointment.
Mnyika alishaelezea hili na alituma barua kwa msajili na hii hoja ilishazikwa zamani sijui kwanini unaifufua hapa. Wajumbe walikua simple majority ya 56% na ndio kura zikapigwa. Na kulikua na attendance sheet zilizosainiwa hao wengine ni waalikwa tu sasa wanapunguzaje au kuongezaje akidi wakati ni observers tu? Msajili alishapewa ushahidi nyie mnaforce mambo.
Unajua haya yote yanatokea sababu Mshindi Lissu hakuitisha baada ya kushinda mkutano wa kuponya majeraha ya uchaguzi, kuwasikiliza 49% walioshindwa na kujenga uongozi jumuishi.
49% ni wajumbe wa mkutano mkuu tu ila wangepiga kura wanachama trust me Lissu angeshinda kwa zaidi ya 70% and that's what matters. Hata timu mbowe walikua wanasema Lissu anakubalika na wanachama ila sio wajumbe!! So 49% leo hii ni zaidi ya hiyo maana since uchaguzi wengi tu wameingia upande wake mfano Welwel, Sugu, Boniyai etc so uchaguzi ukirudiwa leo Lissu anapata zaidi ya 65%.
Ukiwa na akili timamu huwezi kuwa dismissive of 49%. Utajaribu kuwaweka karibu
Acheni lawama, hivi si alimteua Catherine ruge, Julius Mwita, na hao ni team mbowe ila bado walianza fujo mlitaka afanyeje. Lissu ndio alishinda kama hautaki jipange kwa 2029 au hamia CCM sio kukwamishana.
 
Back
Top Bottom