Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,890
- 17,744
Akihutubia Mamia ya Wananchi Jimboni kwake, Mbunge wa Kahama, amewataka wananchi wake wafanye kama walivyofanya uchaguzi wa mtaa,
Kwamba kama chama chake kinaweka mtu asiyekubalika yeye afanyeje?...."Mimi ndio wa kuja kuzomewa? Mtu anatishia kukata jina, basi kateni jina langu, ukate jina langu we nani? "basi kateni Jina langu muone" aliongeza mbunge huyo machachari huku akishangiliwa na hadhara aliyokuwa akihutubia
Source ITV.
Hii inaonesha CHADEMA imewaingia wananchi kwenye damu....... note ...fanyeni kama mlivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa na wananchi kushangilia Kwa nguvu.........