Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM


Acha kupayuka bure kama mwendwazimu ndugu yangu....Mengi ndiye aliyeenda benki ya Mkombozi na Stanbic kuchukua fedha kwa magunia na sandarusi? hata kama unawatetea mafisadi sio kwa staili hiyo. Unaposema kwamba Nyalandu na Lembeli wanaichafua CCM unamaanisha nini? Waichafue CCM ili wanauaikeje? Na mbona Nyalandu kajitosa mbio za Urais kupitia CCM, sasa mtu ataangamizaje chama ambaco anataka kugombea urais kupitia chama hicho? Tafuta utetezi mwingine wa kumtetea huyo bwana yako Muhongo lakini sio huu wa kuokoteza. Je, mengi ndiye aliyeidhinisha fedha za ESCROW zichotwe na kuutangazi umma kwamba zile hazikuwa fedha za umma? Acha kuhorojoka bure hata kama unalipwa...unajiharibia haiba yako mbele ya jamii. CC FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Eti Limbeli Amemtaka Rais kutekeleza matakwa yake? Kwani Limbeli ni Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Dunia? anamtaka Rais atekeleze Amri yake kama nani? Pesa alizopewa na Mengi zimemzuzua mpaka anaropoka pasipo kutafakari kama Mvuta Bangi Lema.

mbona nawe unaropoka kama mvuta bangi? njaa zaitakuua.....
 

Mengi ndiye aliyeidhinisha fedha za ESCROW zichotwe na mafisadi wa CCM? Je, mengi ndiye Waziri wa Nishati na Madini? Fikiri kwanza kabla ya kuandika utumbo kama huu...elewa kwamba huku jf kuna watu wenye akili zao...usithubutu tena kuandika utumbo wako kama huu humu ndani.
 
Nchi hii ukiwa mtu sahihi utapigwa vita mpaka dunia uione chungu ukiwa fedhuli utapata back up ya kutosha kutoka kwa wafujaji mali za wananchi
 
Msomi anaejua kula kiakili ni wa Maana Sana kwa MTAWALA yeyote yule mjanja mjanja!!!
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…