Lembeli: Lowassa naye asafishwe

Lembeli: Lowassa naye asafishwe

Wasira aliwahi kusema kuwa hakuna chma cha mafisadi ila kunamafisadi ndani ya vyama kama alivyo Lowasa kwa ccm na Mzee slaa kwa chadema yote haya ni mafisadi tena mpaka kwa wake za watu.

kwani walitembea na mke wako au mama yako au walitembea na wewe?
 
Nashangaa hayo makanisa na misikiti yanamshobokea. Najua wanachotaka ni fedha zake na si yeye mwenyewe. Wanatimiza usemi wa kiswahili usemao kuwa Baniani mbaya kiatu chake dawa
Kweli mkuu halafu la kuvunda halina Lowasa alishavunda mkuu ndiyo basi tena.
 
Lowasa apewe kazi ya kuwa Balozi wa Harambee, lakini kazi ya Urais apewe Mwana CCM msafi,Mzalendo na mwenye Afya njema.
 
Nasikia alimwibia mpaka baba yake
Sure mkuu ameanza kuiba akiwa mdogo sana ndiyo maana ilifika wakati anamali nyingi kuliko hata za nyerere ambaye alikuwa Rais wake kwa wakati huo sasa sijui itakuwaje kama kipindi hicho akiwa na mali nyingi kuliko nyerere.
 
Lowasa apewe kazi ya kuwa Balozi wa Harambee, lakini kazi ya Urais apewe Mwana CCM msafi,Mzalendo na mwenye Afya njema.
Nakuunga mkono mkuu kwa hoja yako hii inatakiwa kuwa hivyo tunataka Rais msafi kabisa siyo aina ya hawa mafisadi.
 
Lowasa apewe kazi ya kuwa Balozi wa Harambee, lakini kazi ya Urais apewe Mwana CCM msafi,Mzalendo na mwenye Afya njema.
Na huu ni ukweli ambao unapaswa kusemwa wazi wazi na kila mwana CCM na mzalendo bila ya kificho. Lowasa aendelee na harambee zake. Urais katu haumfai
 
Hivi ule uchunguzi umemsafisha na Rais? au yeye hakuhusika.
 
Lizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi kama wewe

Ninahamini wote wanaompinga lowasa kuwa raisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA.
 
Last edited by a moderator:
Lizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi.

Ninahamini wote wanaomponga lowasa kuwa rahisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA
Mimi nipo tofauti sana na wewe sijui kama anamuogopa ila anachoonesha ni ukweli juu ya uchafu wa mzee Lowasa.
 
Tuache ukweli usemwe bila kubagua anasemwa nani wakuu kama mtu anamadhambi yake yasemwe tu hongera Lizabon kwa kuweka ukweli.
 
Lizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi.

Ninahamini wote wanaomponga lowasa kuwa rahisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA
Hahahahahaaaaaaaaa! Hivi kuna fisadi papa nchi hii kushinda Lowasa? Taratibu mkuu. Usilete mzaha hapa. Infact simuogopi Lowasa. Ninamsema wazi wazi na ninamsema kwa mambo ya kweli. Hutaki acha
 
Sijui kama Lowasa hajawahi kuiba kwenye eneo alilowahi kuwa kiongozi mzee mwizi mpaka anajiogopa yeye mwenyewe.

Wakuu nazani hii nchi ina sheria na taratibu ..je ulishawahi kusikia kesi mahakamani inayomuhusu Lowassa?? Je ,ebu weka document hapa ambayo itatoa uthibitisho wa moja kwa moja kuwa Lowassa ni mwizi
 
Back
Top Bottom