BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
inawezekana maeneo mengi sana kanda ya ziwa ccm walichakachua kwenye ubunge...
James mbatia alikamata kura feki , watuhumiwa pamoja na mzigo wote vikapelekwa polisi , asubuhi yake hakuna watuhumiwa wala mzigo , unajua kwanini ? Nakuhakikishia kwamba zaidi ya wabunge 80 wa ccm watang'olewa mahakamani , tangu nizaliwe sijawahi kuona uchakachuaji wa kishamba namna hii !
Kwani nani kasema hicho ni kigezo?Nilichouliza ni idadi ya kata.Wala hiyo haijawahi kuwa kigezo , hebu fuatilia jimbo la ukerewe .
Je zilikuwa halali ? Hivi wewe na akili yako unaamini kabisa wananchi wanaweza kumchagua kishimba na wamuache mheshimiwa lembeli ?
rejea mita 200
huyu lembeli bwana!, kuna siku alisimama jukwaani hapa Kahama akasema yy hapaswi kushindana na kishimba, akadai type yake ya ushindani ni Magu, sasa mpaka leo haamini kilicho tokea.
Huyu jamaa alizidiwa zaidi ya kura elfu ishirini sijui atazipata wapi.
Samahani mkuu hiv mshindi akipata Kura 10,000 na mtu wa pili akipata Kura 3,000 na pia kama yule mtu wa pili kuna sehemu hakupeleka mawakala je kuna uwezekano wa mtu wa pili ambaye ana Kura 3,000 kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mwenye Kura 10,000..?
Asante kwa kunistua mkuu .Mkuu unabishana na Watu ambao hata Kahama hawapajui na hawajui siasa za Kahama ni Lembeli tu.
asante kwa elimu ya kiwango cha juu .Ok. Elewa kuwa kisheria sababu za kutengua ushindi ni nyingi, sio mambo ya kuzidiwa kura tu.
hata kama ni magu angetupiliwa mbali tu!
James mbatia alikamata kura feki , watuhumiwa pamoja na mzigo wote vikapelekwa polisi , asubuhi yake hakuna watuhumiwa wala mzigo , unajua kwanini ? Nakuhakikishia kwamba zaidi ya wabunge 80 wa ccm watang'olewa mahakamani , tangu nizaliwe sijawahi kuona uchakachuaji wa kishamba namna hii !
erythro katika ubora wake.. yuko tayari kusema kinyesi ni hamburg ili tu kuitetea chadema yake
cc
Dr slaa rais wa mioyo yetu mpaka dr mihogo