Lembeli apinga matokeo Mahakamani

mwenyewe anajua alishindwa, ndio maana alisema ataendelea na shughuli zake nyingine akakanusha na kashfa alizokuwa anazushiwa mwezi sasa umepita. Hapa labda kama anataka kufurahisha watu vingenvyo huwa sielewi kwa nini ccm hawapendi kuachia maeneo yenye migodi
 
Embu tuvute subiraa, ni ngumu kuamini Lembeli kushindwaa ubungee!!!
Wala usishangae,Lembeli katumia muda wake mwingi kula nchi kupitia kamati ya bunge ya utalii yeye ilikuwa kila kukichwa ni mguu na njia,pia asiposafiri utakuta yupo Arusha akila nchi,Kahama ni sehemu ya kwenda kumuona mama yake tu na kuomba kura
 
mbona walisema uchaguzi ulikuwa huru na haki ni nini shida tena?
 

Shida ya mahakama zetu ni kwamba akina akison tulia wamejaa huko!!!!
 
Mzee wa nyeti za kuku at his best!
Ataiota CCM aliyoisaliti.
 
Mkuu lembeli si mwehu , amekwenda court akiwa na uhakika wa kilichofanyika , kuna kitu wadau hawakijui .

Hata kwa Lowassa walisema hivo hivo...
Hadi wakadai wameenda mahakama ya kimataifa ya ICJ
 
Yale malori ya kura feki kuelekea mikoani yaliwabeba sana wabunge WA ccm/
ILI KUSHINDA KESI
********************
KOPI ZA NAKALA ZA WASIMAMIZI
KAMA USHAHIDI!MUHIMU/
 
James Lembeli Mwana Maria ndio Chaguo letu wana Kahama, huyo Kishimba atajijua na Mkapa na Mapolisi CCM wao kwa kile walichokifanya wakati wa Uchaguzi tunakijua. Kishimba hatakaa aitishe hata Mkutano hapa Kahama yetu na yeye anajua na hata uhuru hana.
 
Loading.......Komaa Mwana MAria kupata haki yako
 
Hivi alizidiwa kwa kura ngapi zilizotangazwa na nec!? Ni nini hasa hoja iliyopo ya kupinga huo ushindi, nadhani wa Kishimba!

Samahani mkuu hiv mshindi akipata Kura 10,000 na mtu wa pili akipata Kura 3,000 na pia kama yule mtu wa pili kuna sehemu hakupeleka mawakala je kuna uwezekano wa mtu wa pili ambaye ana Kura 3,000 kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mwenye Kura 10,000..?
 
Lembeli hana lake. Aibu yake huyoooo anajisumbua tu. Hashindi kesi katu.
 

haya ndio nikitegemea ayazungumzue baada ya uchaguzi lkn ule ukimya wake inaonekana kama hakupotezea walikubaliana au alibanwa ktk maslahi yake pia.
lkn kishimba na yeye kawekeza kwa wananchi sio mtu wa kimchukulia poa japo upstairs hamkaribii mzee lembeli.
 
Tunaamini mahakama itatendeka.
Haki ya mtu inaweza kucheleweshwa lakini siyo kupotea kila la Lembeli mbunge unasubiri kutangazwa
 
huyu lembeli bwana!, kuna siku alisimama jukwaani hapa Kahama akasema yy hapaswi kushindana na kishimba, akadai type yake ya ushindani ni Magu, sasa mpaka leo haamini kilicho tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…