Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,230
- 283,093
yote yatafahamika tu mkuu , endelea kufuatilia , safari hii mtoto hatumwi dukani .Hivi alizidiwa kwa kura ngapi zilizotangazwa na nec!? Ni nini hasa hoja iliyopo ya kupinga huo ushindi, nadhani wa Kishimba!
Lembeni alibebwa kwenye kiti na manyumbu,haamini kama kashindwa
Kesi zote za uchaguzi zinatakiwa zimalizike mwezi wa 3 mwakani .Daha hapewi nafasi itachukua mwaka mpaka unakata tamaa?
Aiseeee!!!!
Lembeni alibebwa kwenye kiti na manyumbu,haamini kama kashindwa
Kimenuka mjomba .
anajisumbua tu,J4 alishinda na anapoteza mda tu
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.
Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.
Hiyo haijalishi mkuu , maana magumashi hayachagui idadi ya kura alizopata mtu .Anayejua tofauti ya kura walizopata watujuze
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini (CHADEMA ), James Lembeli amefungua kesi mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Shinyanga kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CCM, Jumanne Kishimba. Lembeli anawakilishwa na Joachim Hamis wa kampuni ya Mpoki & associates Advocates ya Dar es salaam , hii kesi si ya kukosa , itakuwa ni ya kusisimua sana !
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.
Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.