Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Pale Arusha hata agombee katibu mkuu wa magamba ataambulia kura za aibu. wao wanasema A-Town bila Lema HAIPO!! ni Chief wao na hili halina ubishi.
LEMA ameiua ARUSHA,wananchi wamemchoka na wanajuta kumchagu,ahadi zake zote zimeota mbawa.
Neno 'wananchi' linatumika vbaya,nashangaa hawa wananchi ndo kina nani wakati ndo sisi tunaomkubali LEMA.
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.
Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.
Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
Msomi unatumika???
Huo mgogoro unaujua wewe,sisi chadema arusha hatuujuiCHADEMA ya Arusha sasa ni CHADEMA ya Makundi .
Kuna mpasumko mkubwa ndani ya Chama ,wengi hamuujui . ! . Uchaguzi wa Arusha Utawashangaza wengi saana . ! .
Ila kwa kifupi CHADEMA Arusha Imepasuka .
Karibu kamanda mimi nilikutangulia tokea nilipokuja kwenye mkutano wa ndani wa kanda ya kaskazini sijaondoka niko nafanya kazi za chama, Arusha imebadilika sana tokea kamanda lema Amechukua ubunge vijana wanajielewa na maendeleo nimakubwa sana ukiweza tuonaneNipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.
Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.
Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
Karibu Mselewa,hapa ndo hom kwetu na LEMA ndo kila kitu,karibu hom kimandolu.
Msomi unatumika???
LEMA ameiua ARUSHA,wananchi wamemchoka na wanajuta kumchagu,ahadi zake zote zimeota mbawa.
Kuna kipindi niliwahi kusema siasa za Arusha wanaozijua ni wana-Arusha wenyewe kwamaana wananchi hao hao wanaeleza kuwa wanakabiliwa na matatizo lukuki kwasababu hakuna utendaji mzuri wa Mbunge wao.
Jambo ambalo linasifiwa na wananchi ni kuhusiana na suala la machinga, angalau kidogo wanaeleza kuwa wamefanikiwa kukaribia kutimiza malengo yao (aliwapigania kwa kiasi flani kwamaana wkuna watu wanaouza bidhaa kwa kujihami ili wasije wakanyang'anywa mali zao) Pia angalia kilio cha akina Mama kufukuzwa nje ya Soko la Kilombero, Soko Kuu walipokuwa wanafanyia shughuli zao wanavyonyanyaswa na mamlaka husika hadi sasa, Mbunge halioni hili ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi zao kwa uhuru?
Ilifikia kipindi wananachi walimchukia Lema na baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na hali ya usalama jinsi ilivyokuwa na mauaji yaliyotokea, sasa tujiulize kuwa walioathiriwa na vurugu za maandamano, mabomu na lile tukio la mkutano wa Chadema Soweto, sasa hivi wamesaidiwaje na Mbunge tukiachilia nafasi ya Chama?
Nimefikiria hayo machache tu, mengi wanayo wana-Arusha.