Wanasema usilolijua ni usiku wa kiza. Sikubaliani na huu uzwazwa wa kuuza nchi kinyemela.
Pia sikubaliani nawe ktk kumlaumu Lema. Kwanza hajahusika na hizi kadhia za CCM na jambo la pili yeye ni raia kama mimi ambaye inabidi atumie msuli na akili kupata taarifa muhimu nyeti.
Tukubaliane kuwa mazuri 100 ya JPM yalifunikwa ama kuchafuliwa na rekodi moja tu, ambayo ni ukandamizaji wa HAKI za binadamu.