Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Acha unafiki mkuu, mataga hawapendi hata kusikia lissu yupo nchini achilia mbali kugombea, we ona Leo wamekatazwa hata kwenda kuaga mwili Wa mkapa, mataga sio watu ni mashetani flani kiaina!Mmeanza kuweweseka!
CCM inapenda kuona Tundu Lisu anateuliwa kuwa mgombea urais!
Mbowe alitaka kwenda kufanya siasa uwanjani.acha unafiki mkuu, mataga hawapendi hata kusikia lissu yupo nchini achilia mbali kugombea, we ona Leo wamekatazwa hata kwenda kuaga mwili Wa mkapa, mataga sio watu ni mashetani flani kiaina.
Aa wapi! Mimi nashinda kwenye hivi viunga vya hapa Lumumba kucha kutwa, nakwambia ujio wa Lissu umeleta shock waves hatari kabisa.Mmeanza kuweweseka!
CCM inapenda kuona Tundu Lisu anateuliwa kuwa mgombea urais!