Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,352
- 3,533
Subutuuuu waliji withdraw kwa sababu Tanzania kuna ugeni kwa ajili ya mazishi. Ingeleta picha mbaya.Lema anajaribu kutengeneza taswira kwamba "kuwa mpinzani lazima utendewe mabaya sikuzote", and anasahau kufikiri kwamba yawezekana police waliamua ku withdraw baada ya kugundua kwamba nguvu ya uma/umati mkubwa ulio jitokeza kumpokea Lisu ulikua ni mkubwa hata kuzidi nguvu ilio andaliwa.
Otherwise chamtemakuni cdm wangekiona
Ila mbabe bashite angekuwepo mbn moto ungewaka ivo ivo hana simile mjinga yule.