Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,339
- 13,643
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
lowasa ndani ya ukawa...nchi itatikisika ...simba wa yuda ataunguruma muda si mrefu
Juzi nilimsikia mhubiri mmoja kutoka nchi moja ya Afrika wakati ana hubiri kwenye redio moja alisema kuwa kuna mtu mmoja alikuwa na madaraka makubwa nchini Tanzania ana mawazo mengi moyoni mwake baada ya jina lake kuondolewa wakati ana jaribu kutafuta nafasi nyingine ya juu zaidi,Mungu amesema kuwa mtu huyo asiendelee kuhuzunika na kusononeka kwa kuwa kuna mtu ana kuja kushika madaraka makubwa ya nchi naye atamfanya kuwa mmojawapo wa viongozi wakubwa katika utawala wake.
Pamoja n
hakuna cha unabii,kila kitu kinapangwa.......
CHADEMA wapewe hongera kwa hilo, maana kimekuwa chama cha viporo na makapi!
Sijui na Zito watamkaribisha lini?
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.
Chanzo:Mtanzania
CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
Unaesema fisadi alifisadi nini mbona hamkumpeleka mahakani
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.
Chanzo:Mtanzania
CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Kwa taarifa tu,gazeti la Mwananchi la leo tarehe 25/07/2015,lina habari inayosema mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Ole Nangole,amesema Lowassa hakutendewa haki.
Bila shaka mnajuta kimoyomoyo.
hawezi kufuadafu kwa dr magufuli,anapoteza mda bure
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
eti siri nzito,wabongo bana........
ana siri ipi hiyo nzito?