Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,154
Reaction score
162,570
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.


Chanzo: Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
 
Kwa taarifa tu,gazeti la Mwananchi la leo tarehe 25/07/2015,lina habari inayosema mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Ole Nangole,amesema Lowassa hakutendewa haki.
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM
 
Na hawa mtanzania si walinunuliwa na rostam na lowassa naona kuna kitu kinakuja hapa
 
Karibu sana lowasa. Tunakusubili kwa hamu kubwa. Ccm si mungu wa kuogopwa, muogope mungu tu mweza wa yote
 
Back
Top Bottom