Lema: Tutakwenda Mtwara kuwasha Moto!

Lema: Tutakwenda Mtwara kuwasha Moto!

hata wananchi wa kigoma wanatakiwa wadai mji unaotakiwa kujengwa kigamboni ukajengwe kigoma maana kikwete aliwaambia wananchi wa kigoma kwamba,kigoma itakuwa dubai, huko nako moto uwashwe

Huyu mkuu wa mkoa Juzi si aliendamana usiku wa manane kwenda rwelwe station kumpokea Kinana
 
Huyu jamaa anapenda sana vurugu!!! Kwanini asiende kuwasha moto kwenye kiwanja cha kujenga hospitali alichokiandikisha jina lake?

huyo jamaa akishavuta kitu cha arusha anakua mropokaji mzuri sana.juzi kati bangi zikamtuma eti afunge shule.
 
Lema anadhani watu wa Mtwara wanashikiwa akili kama watu wa Arusha.
 
Naomba kufahamu Lema anamipango gani na jimbo lake na ni viipi ataitekeleza? Ni vizuri kama akiendelea na jitihada za kuliendeleza jimbo kwasasa baada ya kuwa nje kwa muda mrefu vinginevyo atahatarisha kiti chake 2015. Upinzani sio vurugu,

Kama unafuatilia masuala ya Siasa za mji wa Arusha, utagundua kwamba Mh. Lema katika uongozi ametawala kwa muda mfupi sana. Muda mrefu alikuwa nje ya uongozi.

Hivyo hatuwezi kumlaumu leo kwa maendeleo ya jimbo la Arusha. Na wananchi wa Arusha wanalielewa hili. Jimbo la Arusha wananchi wameichoka CCm hivyo upinzani ndio wenye nafasi kubwa sana kushinda kihalali, labda njama zitumike ndipo CCm inaweza kushinda Arusha.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Lema anadhani watu wa Mtwara wanashikiwa akili kama watu wa Arusha.

Mkuu ritz kwani watu wa Arusha wameshikiwa Akili. Kama ni hvo hii ni hatari kwani Huyo mshika Akili akasafiri mbali si watu Watakuwa Vioja pale Arusha.
Watake Radhi wanaarusha.
 
Wewe ni nani? Alafu unajiita Betlehem haya nmajina mnayatoaga wapi wakati hamjui hata maana yake? waliotoka kwenye majina hayo walikuwa wanapigania haki ya kweli na usawa kwa wote. Leo unasema maslai ya taifa ? yapi? au baba yako ni mkiti wa shishiem nini?
 
Kwanza Lema zile pesa za M4C alizosema ameenda kununulia helikopta Uingereza zimepotelea wapi? maana helikopta haijafika mpaka leo na siku zinayoyoma tu...
 
Lema anadhani watu wa Mtwara wanashikiwa akili kama watu wa Arusha.

Watu wa arusha situlinganishe na raisi wako kikwete aliyefungia gazeti la mwanahalisi kwa kosa la tanzania daima.
 
Kwanza Lema zile pesa za M4C alizosema ameenda kununulia helikopta Uingereza zimepotelea wapi? maana helikopta haijafika mpaka leo na siku zinayoyoma tu...
hayo maneno yenu ya ccm sisi wanachadema hayatugawi maneno hayo yanawaafekti ccm maana ccm ni chama cha majungu,kwa chadema mbele yetu ni kuwatoa ccm madarakani. mtoe kwanza nyoka ndani ya nyumba alafu ndio upange vitu
 
Back
Top Bottom