Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

hiki chama cha kaskazini wanachekesha kweli lema kamvue uanachama mbowe kwa kuhongwa na rostam na mkono
 
Tukimpata serious hatuta ingia madarakani.
Huo udhaifu ndo mpango wa Mungu.
 
Jaribu kubarehe kichwani kabla ya seehemu nyingne yoyote, utafanikiwa
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

View attachment 132722
Hakika sishangai Mr ex- Policeman. Kinachoongelewa kingine, unachosema kingine. Mkuu siku zote wanaolaumiwa kwa kuwa hovyo hovyo ni watawala na sio wanaowania utawala. Wawania utawala wakiwa wa hovyo wana puuzwa na kutopewa nafasi kama anavyopuuzwa Cheyo,Dovutwa, Makaidi na wengineo. Kama unatumia muda wako mwingi kupambana na Chadema ambao ni wawania utawala inanipa shida sana. UNAJIELEWA MKUU?
 
ninachosema mimi ni usianzishe ugomvi wa kutupa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.
 
Unamaanisha Mbowe anafanya uzinzi kwa sababu viongozi wa juu wa CCM nao wanafanya uzinzi? Kama ni hivyo basi hakuna haja ya kuwa na chama mbadala.

Ninachosema mimi ni usianzishe ugomvi wa kutupa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Hilo la CCM sijui lilikua linaongea manini sasaa,halafu huyu Lemaa alikosa mifano mpaka atoe ya kufanya mapenzi na mama mkweee mbona mifano mingi tu ila kajitahidi japo sio saanaaa
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
najane anauliziaaa fedha zake za rambirambi lini unapeleka.

Lukosi, mbwa mwitu bado wa ngapi kukamatwa
 
Naomba nikukumbushe kesi ya rambirambi Jf itahamia mahakama kuu

Pia kutakuwa na magroup mawili nje na ndani ya mahakama kuu
1.Hajala rambirambi - hili litahitaji motivation ili liimbe na kucheza kama lile la yuda
2.Kala rambi rambi wana Jf majasiri watakuwa watuhumiwa na watafungua mapingamizi 100 kidogo kuhusu mwenendo

Nje kutakuwa na wana jf wakiwasubiri wana jamvi wenzao wambie nini kinaendelea ndani na mwenendo wa kesi WAKIMWAGA MA UPDATE YA KUFA MTU

Je haya umeyatafakari
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
 
Pamoja na Kujaribu kujisafisha na Kutishia Kuwashtaki Watu Sakata la RambiRambi za Mjane wa Mwangosi limemshushia heshima sana Chris Lukosi amekuwa haaminiki tena na hata Michango yake hapa JF haichukiliwi seroius kwa Sababu ya tuhuma za Kuchikichia Rambi rambi. Ni vyema Lukosi ukatumia hata JIKI kujisafisha dhidi ya Tuhuma hizi nzito ikibidi Wasilisha Rambirambi zote
 
Last edited by a moderator:
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

Mlitaka mumtoe Mbowe kupitia ZZK tukawastukia sasa hivi mmebaki mnabwekabweka tu. Kwa taarifa yenu Mbowe hatoki ni kiongozi shujaa zaid ya kiongozi yeyote wa ccm
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

Mjane wa Marehemu Mwangosi anadai rambi rambi zake mkuu.............. Laana ya kula rambi rambi za marehemu Mwangosi haitakuacha hivihivi
 
pumzika kwanza ili ubongo wako ukomae kiakili.Tena unahamu ya kutajataja jina la mbowe kwakua anakunyima usingizi wewe na ccm yako.mtaweweseka sana mwaka huu nyie vibaraka vya ccm
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi wetu lakni haongozi juu ya suala lolote? je bado ni kiongozi wetu??? Hivi ukipwaya huoni na hata ukiambiwa umepwaya husikii???
 
Unataka tuweke wazi uzinzi wa viongozi wako wa juu?? na hali zao???

Like n swala binafs yanaongelewa wa2 ku uwawa watu kuteswa mbona mmesahau babu wenu alie baka mwanafunzi na bibi yenu alieoa kijana wa miaka 20
 
Kuna familia ya katibu mkuu wa kambi tawala alipata kashfa ya ngono na mwanafunzi, eti mwanae leo nae aukwae uNyerere???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…