Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
mbunge wa arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa raisi jk ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu pm pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na lema, nafikiri speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
naunga mkono msimamo huu.hata kama ningekua lema nisingefanya hivyo.akipeleka kutakua na tofauti gani na alivyopeleka mwanzo hadi leo kimya.mwendawazimu ni yule anayefanya jambo lile lile kwa watu walewale wenaotumia ghiliba zile zile za siasa ilele wakitegemea matokeo tofauti.lema hawezi kuwa mwendawazimu apeleke ushahidi ambao anajua matokeo ni yale yale
Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
Crusade tena inageuka kuwa movement lakini bado ni democratic sio mbaya. Umefaulu mtihani wa kutunga sentensi japo haina maana kama vileCrusaders Democratic Movement (CDM)
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Suresiungi mkono. Nadhani Waislam hawatamuangalia kikwete kama Kikwete. Watamuangalia Kikwete kama Musilam naLlema na CHADEMA kama Wakristo
Namshauri Lema awasiliane na Mchungaji Mtikila, yeye alitoa madai hayo, akashitakiwa na akashinda kesi. Anaweza kusaidia sana ukijumlisha na ushahidi ulionao.