mkuki moyoni
Senior Member
- Apr 29, 2011
- 116
- 5
Najua watu wasiotaka kuambiwa ukweli watakataa lakini huu ndio ukweli wenyewe. Wote wanaweza kuhamasisha maandamano ila wanachozidiana kwa hili ni jee hayo maandamano yana tija yoyote au ni kujitafutia umaarufu?
wewe huna tofauti na condom iliyo tumika..kama unauwezo wa kufikiri hebu firia kwanini alizuia wasizikwe na yeye ni nani mpaka azuie, ukipata jibu tutaanzia kujadiri vingine kaakimya..lema acha ujinga wako unachafua chama, yaani unakili kuzuia maiti wasizikwe mpuuzi sana wewe pia uhusiano wako na udom utakumaliza kisiasa, fanyia wapiga kura wako kazi za maendeleo, mbowe wala slaa hawawezi kumkemea kwami wanataka apotee wao wakidhani wanampandisha.
akil mgando,Lema ana jeshi?mmetumwa kumchafua kamanda nenden mkajipange upya.kashindwa Mizengwe Pindua na Anua Makida sembuse nyie vimeo!Viva Lema udumu daima komesha wanafik wewe upo juuheri mmeliona hilo huyu jamaa ni MUNGIKI amezoea fujo anataka nchi yetu iwekama somalia. Nashindwa kuelewa huyu mungiki akipewa nchi itakuwaje nadhani atakuwa dictetor mbaya kuliko Adolf hitler.Nadhani CHADEMA wanasafari ndefu sana ya kuchukua nchi hii na mavurugu yao.Shida yao inchi isitawalike tumewashtukiaaa.!
Lema anaboa men!!
Wewe usiwe mjinga, siasa ni game na unapaswa kuwa makini kila step ila Lema hapangili mambo ya kuzungumza, kuna unayoweza kuyasema kijiweni lakini sio bungeni au kwenye mikutano ya hadhara, mengine unapaswa kutafakari hata kabla hujasema ili kuondoa mitego ya kisiasa, kwani neno moja la kisiasa lililokosewa linaweza kugharimu maisha yako yote ya kisiasa ukajikuta nje ya ulingo. Natamani Lema arekebisha style yake ili aende mbali kisiasaLema tumemchagua wenyewe sababu ni mpambanaji. Wote mnao mlalamikia ina onyesha amewashika pabaya na sio mkazi wa Arusha
Inaonekana huwa unagawa TIGO kwa NAPE,haya nenda ukachukue posho kwenye ofisi za CCMNamjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje
kwa kupigiwa kura. Nafikiri nimekujibu mkuu, au kama unamuona afai basi 2015 njoo pambana nae. Alimlipua Batilda Buriani na alikua waziriNamjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje
Hawa ndio wafuasi wa Lema, bahati nzuri wao ndio wameruhusiwa kutukana humu JF, matusi wayatakayo kama haya lakini hawezi kupewa BAN ata siku moja. Chadema oyeee!!CCM ni malimbukeni wa kutupa,ukiona kijana anashabikia CCM ujue utotoni alinyonya mboloo ya baba yake
Namjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje