Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Nasikia hawezi tena kwenda Uk kwa sababu anatafutwa kwa kesi ya kujaribu kubaka, kwa hiyo akikanyaga UK tu na ubunge ndio basi manake atafungwa na sizani kama katiba ya tanzania inaruhusu wahalifu kuwa wabunge
hv huo ukamanda mnautoa wapi?
Spika atampa hiyo nafasi?
Ushauri wangu ni kuwa afanya kama alivyofanya Dr. Slaa alipotutajia ile list of shame pale Mwembe yanga.
Spika atampa hiyo nafasi?
Ushauri wangu ni kuwa afanya kama alivyofanya Dr. Slaa alipotutajia ile list of shame pale Mwembe yanga.
Tatizo kamanda hawezi kuingia europe anatafutwa na polisi uk
Kwa vyovyote vile Zitto hawezi kumpa hayo majina Lema!ZITTO ANAVOPENDA UMIMI
SIDHANI KAMA ATARIDHIA KUKUKABIDHI MAJINA HAYO
labda nayeye lema akubarik kwenda kwa waganga
Tulipokuwa JKT kuna maafande walikuwa wakitutukana kwamba akili etu hazina ubongo bali zina kamasi. Hili neno lilikuwa likiniudhi sana. Nilishangaa inakuwaje mtu aliyeishia darasa la saba anadiriki kusema kuwa mtu aliyemaliza kidato cha sita tena akafaulu eti anatumia kamasi badala ya akili"Nasikia hawezi tena kwenda Uk kwa sababu anatafutwa kwa kesi ya kujaribu kubaka, kwa hiyo akikanyaga UK tu na ubunge ndio basi manake atafungwa na sizani kama katiba ya tanzania inaruhusu wahalifu kuwa wabunge
we unatumia akili?? mnataka jtuteka akili zetu watz tumeamka nyie wezi tuuTulipokuwa JKT kuna maafande walikuwa wakitutukana kwamba akili etu hazina ubongo bali zina kamasi. Hili neno lilikuwa likiniudhi sana. Nilishangaa inakuwaje mtu aliyeishia darasa la saba anadiriki kusema kuwa mtu aliyemaliza kidato cha sita tena akafaulu eti anatumia kamasi badala ya akili"
Lakini leo kwa hoja kama hizi, nafikiri wale maafande walikuwa right' Ndugu BK hebu pamoja na ushabiki na chuki zako kwa Lema basi utumie walau sehemu kidogo ya akili. "kama huna kabisa basi nyamaza ufiche unga wako"
Kwa vyovyote vile Zitto hawezi kumpa hayo majina Lema!
CDK( chadema kaskazini)
Lema tuambie Chopa na ambulance za UK zimefikia wapi?
wanajeshi hupata kwa utumishi uliotukuka sasa nyinyi hata waimba taarabu makamanda ughh mnafikiri ukamanda ni tenesi eeeeh?
Wewe unaweza kuhamasisha maandamo kazi ya kutaja majina na kudandia hoja za Zito ambaye unampinga kila kukicha muachie mwenyewe Zito anajua cha kufanya. Kama ulikuwa na hamu ya kuyataja mbona hukutafuta iwe single yako?
basi na yy ametukuka ndani ya chama.