LEMA: Ni maandamano tu, hakuna kurudi nyuma

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Bunge alasiri hii

Kama maandamano yanalenga kutetea haki za matanzania kamwe hayatakoma usiku na mchana na Polisi wajiandae. Hizo ni salam za Mh. Godbless Lema alsiri hii akimwaga Moto Bungeni katika kuchangia hotuba ya Waziri kivuli wa Fedha na Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani.

Anasisitiz endapo tutaweza kuishi kwa usawa na kujali misingi ya kidemokrasia na uwajibikaji , kamwe maandamano hayatakuwepo. Na mkitaka kuamini hilo fanyeni uchunguzi hawaandamani CDM wanaandamana wananchi waliochoshwa na udhalimu wa Serikali.

Haungi mkono Bajeti
 
anasisitiza mara kadhaa kila mbunge wa CCM akisimama kuchangia HOJA anaanza kwa kujielekeza moja kwa moja kuponda maandamano kama vile ni mkakati wa Kichama kuwadhoofisha CDM. Maandamano yataendelea usiku na mchana.
 
Mwenyekiti kamshukuru japo kapiga dongo kama kuipotezea hoja vile: Ati '' ningeshangaa kama ungeongea bila kugusa maandamano''. aliatakaje sasa
 
bunge alasiri hiikama maandamano yanalenga kutetea haki za matanzania kamwe hayatakoma usiku na mchana na polisi wajiandae. Hizo ni salam za mh. Godbless lema alsiri hii akimwaga moto bungeni katika kuchangia hotuba ya waziri kivuli wa fedha na naibu kiongozi wa kambi ya upinzani.anasisitiz endapo tutaweza kuishi kwa usawa na kujali misingi ya kidemokrasia na uwajibikaji , kamwe maandamano hayatakuwepo. Na mkitaka kuamini hilo fanyeni uchunguzi hawaandamani cdm wanaandamana wananchi waliochoshwa na udhalimu wa serikali.haungi mkono bajeti
haungi mkono bajeti!
 
Maandamano ni haki kwa jamii yoyote duniani kufikisha ujumbe.Elimu inayotolewa na Chama cha Chadema kwa wananchi ndio kitu kinachowaumiza vichwa ccm sbb wanaogopa kujulikana zaidi mabaya wanayoyafanya dhidi ya wananchi masikini.Viva Chadema peoplesssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!
 
Lema ananifurahisha sana. Anazidi kuniaminisha kwamba mkesha wa siku 3 pale manispaa ya Arusha na uvumilivu wangu kwa mabomu ya machozi baada ya matokeo ya kutangazwa nilikuwa sahihi kabisa! He is doing what we want kila anapopata nafasi. Very good Lema. Huku Arusha, anayejiita meya anaumbuka kila akijichanganya uraiani na anatamani kutoweka mahali anapokutana na Lema. God Bless Lema!
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
Karibu sana JF naona umeingia kwa miguu yote
 
Kwa kweli nimemsikia kwa mara ya kwanza akichangia amenifurahisha sana ameongea mengi ya msingi tena akinukuu vyanzo mbalimbali kwenye vitabu vya bajeti na swala la maandamano amelilink na nukuu kutoka kwenye bajeti kwenye swala la good governance kitu ambacho ni kizuri mno
 
Na bado! Kama ccm wanajifanya cdm inakosea wangepiga kimya ili izidi kupokea. Lakini wanajua kuwa yanamadhara kwao. Wajaribu kuandamana wao wauone moto. Haki ya nani watabaki makinda,nape,makamba na mkama.

Viva cdm. I belong to u.
 
thanks LEMA wewe ni KAMANDA WA UKWELI hata RPC anajua hilo! komaa tupo nyuma yako brother!
 
Arusha nawapongeza kwa kuchagua kichwa. Haumi maneno wala kuremba hoja yeye anatwanga directly. Arusha mpeni support Lema ili asirudi nyuma mpaka kieleweke
 
Is he an asset or liability? you know the answer...

Anyway hivi maandamano yakikoma na style za mitulinga zikikoma CDM Mh. GL atakuwa je?
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
unaakili timamu kweli wewe!!
 
Back
Top Bottom